Ya Gekul hayajaisha, Wakili Madeleka kukata rufaa

Dogo mjinga Bora angevuta Hela Akala Kona haki bongo
 
Hapo ndipo umuhimi wa Katiba kupitia upya
 
Katiba ya Tanzania hairuhusu DPP kumtetea mtu. nionacho mimi, na ambacho inawezekana kuwa ni cha kweli, DPP ile issue ameona inapelelezwa bado, na madeleka amekurupuka kwenda bila ushahidi tangible, angeendelea na kesi mahakamani manake asingeweza kushinda (ila angepata tu faida ya popularity), na Mahakama ingemwona Gekul hana kosa manake hata DPP angemaliza upelelezi wake kupitia mapolisi Gekul asingeweza kushitakika tena kwasababu alishaachiwa na Mahakama kwenye kesi ya madeleka. kwa wanasheria wanajua kwamba ukishitakiwa kwa jinai ukatamkiwa kuwa huna hatia, hutakiwi tena kushtakiwa kwa kosa lilelile. sasa DPP asingeweza kukubali kuona madeleka anaharibu kesi kwa maslahi ya popularity yake. iliuwa ni busara kuifuta, na inaweza kufunguliwa tena baadaye upelelezi ukikusanywa vyema.

kwa akili ya kawaida, ni shahidi gani madeleka angeweza kumleta zaidi ya yule mmoja tu, yule dogo. hakuna. kwenye ushahidi mwingine, kama ule ambao mapolisi watakuwa waliandika maelezo ya mashahidi, madeleka hana access na jalada la polisi. madeleka hawezi kwenda polisi na kuwaambia nipeni maelezo ya jalada la polisi mliyokusanya. mwenye nguvu kuwaamrisha polisi kufanya hivyo ni DPP. sasa madeleka angeenda na ushahidi wa huyo dogo peke yake, angeshinda kesi? na akishindwa si atakuwa amepoteza haki ya dogo kizembe sana? kwa wanaonielewa wameelewa.
 

..hakukuwa na option ya kuomba kesi iahirishwe kwasababu uchunguzi haujakamilika?
 
Wewe brother acha kuendelea kujishushia heshima eti na wewe ni mwanasheria .
Pumbavu sana wewe brother ni mwanasheria bwege.
Hivi hujui kuna "The African Court on Human and Peoples’ Rights".
Ndio utaratibu unafanyika kesi hii itafikishwa huko mfumo wa ndani wa kisheria usipotoa haki
 
Acha kuwa narrow minded eti shahidi ni yule dogo tu haujui kama kuna ripoti za madaktari hata video clips za kina gekuli na pia tambua mashauri ya kisheria yanaweza kiutaratibu kupelekwa Kwenye mahakama nyingine za kimataifa mfano suala hili mahakama za ndani zikilipiga danadana linaweza kupelekwa The African Court on Human and Peoples’ Rights ambao wanaweza kulitolea maamuzi ambayo yanaweza kuiaibisha serikali
 
Elewa huo ni mchakato wa kuweza kulifikisha lalamiko hili The African Court on Human and Peoples’ Rights
 
Sheria zetu zinaruhusu private prosecution?
 
Nimekuelewa vizuri kabisa. Kuna vilaza niliwaambia hivi hivi wakanibishia... Inshort Madeleka kwa hili ameonyesha kiherehere Cha hali ya juu ingawa dhamira yake inaweza kuwa njema
 
Madeleka ni Wakili wa Mchongo, na ndiyo maana anakurupuka!!
 
Nimekuelewa vizuri kabisa. Kuna vilaza niliwaambia hivi hivi wakanibishia... Inshort Madeleka kwa hili ameonyesha kiherehere Cha hali ya juu ingawa dhamira yake inaweza kuwa njema
Kama dhamira ya Madeleka ilikua njema,basi angeshirikiana na office ya Mashitaka kwenye hili swala na siyo yeye kujipa mamlaka ya DPP!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…