Ya Gekul hayajaisha, Wakili Madeleka kukata rufaa


The African court on Human and Peoples Rights nakumbuka Tanzania tulijitoa,kama status bado inasoma tumejitoa je communication itaenda vipi kwenye hiyo mahakama mana haina jurisdiction kwa Tanzania.
 
we ni mpumbavu sana. Mahakama ya Africa inaweza kumtia mtu hatiani? au ni mahakama ya rufaa? na je? maamuzi yake ni binding kwetu au persuasive? acheni kuingilia fani msizozijua.
 
Si jambo lingine limepelekea kufutwa kwa kesi hiyo isipokua rushwa. Dpp hiyo sheria inayompa madaraka kufuta kesi bila kutoa sababu inampa fursa kua duka la kuuza haki. Hapo kuna nguvu kubwa ya vigogo imemshukia hata kama sio mapenzi yake kesi ifutwe.
Ngoja tuone nini kinaendelea ila la wazi wananchi watapata fursa tena kuona tuna utawala wa aina gani tanzania.
 
we ni mpumbavu sana. Mahakama ya Africa inaweza kumtia mtu hatiani? au ni mahakama ya rufaa? na je? maamuzi yake ni binding kwetu au persuasive? acheni kuingilia fani msizozijua.
Wewe ndiye mpumbavu kwani huko anakwenda kushtakiwa mtu.
Huko inakwenda kushtakiwa serikali iliyoamua kutokutenda haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…