Fortilo
JF-Expert Member
- Apr 10, 2012
- 5,807
- 17,416
Wakuu salam,
Wakati huko mitandaoni watu wanataka kuuwana na kuchukia wengine, siku zote wanasiasa ni wale wale
Kwa miaka takribani 30 sasa, Chadema inaenda ku set a very new political pathway kwa vyama vyote vya upinzani kufuata..
Nawashangaa sana vijana wanaopasuana kwa matusi mitandaoni.
Haya mambo si leo wala ya jana yaliwahi tokea 1995 kwenye mkutano wa kamati kuu CCM wakati vyama vya upinzani vikiwa vichanga kabisa .
Kumbuka 1995, CCM ilikuwa na Umri relatively sawa na Umri wa Chadema sasa (>3yo) kwahiyo hapa Chadema ndio itavunja ungo na iki qualify CCM itakuwa na kibarua kizito sana kufikia Oct Mwaka huu.
Minyukano na mambo mazito na matishio ya CCM kusambaratika yalikuwa hivi hivi kipindi cha kuamua nani atakuwa mgombea Urais kati ya Mkapa na Kikwete.
Kumbuka Mkapa wakati huo hakuwa na ushawish mkubwa kama Kikwete, lakini Mkapa alikuwa na back up ya Mwinyi na Nyerere (the heavy weight)
Wasikilize mwenyewe hapa👇
View: https://youtu.be/YW12KJx5Xlk?si=0kwW99h9umUItUyT