Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Wanaotumiwa na mafisadi wamepambana sana kumshauri boss lady eti asimpe kijiti bwana mdogo na ambakishe palepale alipomteua siku chache zilizopita na huku wakimpigia debe kijana wao mwenye jina la mtoto wa Yoseph ili awe.

Hali kadhalika, wenye mlengo wa kulia wamemshauri boss lady amrejeshe mu-cubya ili kwalo aje awe boss wa Sekretalieti. Na kwa ushirikiano wa Yeye na Mwenezi, wanaamini Chama kitapaa juu mawinguni kwa kuaminiwa tena na Wananchi.

VC hamtaki yule mlima nyanya! Na akaenda mbali zaidi, eti, yupo tayari akalee wajukuu kuliko kufanya kazi na vijana wenye viburi. Mlengo wa kulia wakamuuliza, vijana ama kijana? Na kama ni vijana, je, na yupi mwingine!? Jibu lake akaishia kuguna pekee!

"....wazee wangu na wana MCC wenzangu nimewasikia. Na acheni nami na wenzangu wanaonishauri mambo ya siasa, tukalipitie." Jibu la boss lady.

Nb: Mradi wa mama bado chaji inasoma 90%.
 
Badala ya kuwaza maendeleo ya nchi na kuumiza vichwa kutoa mawazo chanya na nini kifanyike ili nchi yetu ipate maendeleo y kweli mmekaa kuwaza vyeo na madaraka tu!

Nyuzi zote unazoanzisha ni vyeo na madaraka tu alafu ndo nchi ipate maendeleo ya kweli.

Nasikitika waliokuteua mwenezi hapo CCM.
 
Nyuzi zako nyingi pia ni za siasa. Hili ni jukwaa la siasa. Nenda jukwaa la uchumi, jukwaa la ufugaji, jukwaa la sayansi, ni wewe tu.
 
Badala ya kuwaza maendeleo ya nchi na kuumiza vichwa kutoa mawazo chanya na nini kifanyike ili nchi yetu ipate maendeleo y kweli mmekaa kuwaza vyeo na madaraka tu!

Nyuzi zote unazoanzisha ni vyeo na madaraka tu alafu ndo nchi ipate maendeleo ya kweli.

Nasikitika waliokuteua mwenezi hapo CCM.
Ansanteee

Tuna wapumbavu wengi sana nchini
 
Badala ya kuwaza maendeleo ya nchi na kuumiza vichwa kutoa mawazo chanya na nini kifanyike ili nchi yetu ipate maendeleo y kweli mmekaa kuwaza vyeo na madaraka tu!

Nyuzi zote unazoanzisha ni vyeo na madaraka tu alafu ndo nchi ipate maendeleo ya kweli.

Nasikitika waliokuteua mwenezi hapo CCM.
Wewe umeanzisha kipi kinachohusu maendeleo na hili ni jukwa la siasa, unafanya nini humu wewe, si utoke humu
 
Back
Top Bottom