Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

Mbona ata viongozi wa ngazi za Juu huwa wanawaza uchaguzi,sasa Kuna ubaya gani mtoa mada kuripoti utamaduni wa chama chenu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Upande gani utashinda kwa maoni yako?
 
Safu ikiwa nzuri utaona maendeleo. Toka Makonda aingie baadhi ya watumishi wameanza kukuna vichwa. Mawaziri wameanza kuwawajibisha watendaji, watendaji nao wameamka usingizini.

Hii amsha ni kichocheo cha maendeleo.

Pia usisahau hili ni jukwaa la siasa.

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 

Kinana,Chongolo, Mjema, Shaka hawana, na hawajai kuwa na impact yoyote kwa nchi au chama. Impacts yao kwenye maisha ya Watanzania ni sifuri, chini ya sifuri, negative.
 
No yaliosemwa kwa code hapo ni muhim pia ukubal ukatae ndio yana endesha uchum wako. Mu cubya ni fit sana ila nae ni mtata ila very strategically acha siasa iendeshe
 
“*
huku wakimpigia debe kijana wao mwenye jina la mtoto wa Yoseph ili awe.

Hali kadhalika, wenye mlengo wa kulia wamemshauri boss lady amrejeshe mu-cubya ili kwalo aje awe boss wa Sekretalieti. Na kwa ushirikiano wa Yeye na Mwenezi, wanaamini Chama kitapaa juu mawinguni kwa kuaminiwa tena na Wananchi.*

Mtoto wa Yoseph ni Emmanuel?

Mu-cubya ni nani?

Suzy Elias
 
Suzy ndio mwenezi? Yaani kumbe nabishanaga na Mwenezi huku? Nisamehe sana sana Mwenezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…