Ya leo kikaoni usiku pale Utemini

Kula vichwa wote waliomdhihaki Dr Magufuli na bado wote watatoka serikalini na LAZIMA wafe kisiasa
 
Hamna pointi hapa unataka warejeshe wasiojulikana?

Hatutaki kuona damu
 
Watumishi gani wanakuna vichwa?
 
Afrika haiendelei kwa sababu viongozi wa Afrika wakati wote wanafikiria namna ya kubakia madarakani. Nchi zilizoendelra viongozi wakati wote wanafikiria namna ya kuziletea maendelea nchi zao - Rais mstaafu Obama.

Kwa kuendelea kuwa na viongozi kama hawa wa CCM, Tanzania tusitegemee kupata maendeleo yoyote ya maana. Tuna viongozi ambao wana upeo na uelewa mdogo sana, halafu wanang'ang'ania madaraka. Sasa hawa vipofu watatupeleka wapi!!

Tunasubiria vipofu waongoze njia, halafu tunaamini kuwa tutafika tunakotaka kufika. Is impossible.

Uliona wapi kupiga kelele sana na kufanya vituko na uovu mwingi ikawa sifa ya uongozi? Yaani kupanda mikokoteni, punda, kuteka, kuua, na kupiga kelele, wakati kichwani hamna kitu, tayari huyo ni kiongozi shupavu na mkakamavu.
 
Slowly
 
Haya yakitokea CHADREAMA utawasikia, 'Demokrasia hiyo' 'tumekomaa' wamekaa mithili ya fisi kusubiria mkono udondoke...alimradi wapate ka wizara mbili hivi na ma ded ras, vinginevyo hawatoboi kwa ku susa susa.
 
Hakuna nchi yenye maendeleo kama hakuna viongozi safi.
Tunaanza na kuwaza viongozi ambao watatuongiza kuelekea kwenye maendeleo. Huo ndiyo mfumo wa dunia
 
Mcubya ni pole pole,mtoto was yoseph ninmtoto wa "wazuri hawafi"uliza kingine!mlima nyanya ni Ally hapi!!

Decoded
 
Afrika haiendelei kwa sababu viongozi wa Afrika wakati wote wanafikiria namna ya kubakia madarakani.

Wacha uwongo . Kuna mazee kule Uturuki, Marekani hata yule *rump mla rushwa na mkwepa kodi...wapo wanafikiria madaraka tu! Wacha uwongo.
Nchi zilizoendelra viongozi wakati wote wanafikiria namna ya kuziletea maendelea nchi zao.
Hamia huko kulipoendelea
Kwa kuendelea kuwa na viongozi kama hawa wa CCM, Tanzania tusitegemee kupata maendeleo yoyote ya maana.
Hakuna mbadala, hakuna mwenye dhamira, unategemea nini?

Tuna viongozi ambao wana upeo na uelewa mdogo sana, halafu wanang'ang'ania madaraka
Kumbe unawajua CHADEMA
. Sasa hawa vipofu watatupeleka wapi!!

Tunasubiria vipofu waongoze njia, halafu tunaamini kuwa tutafika tunakotaka kufika. Is impossible.

Uliona wapi kupiga kelele sana na kufanya vituko na uovu mwingi ikawa sifa ya uongozi?
Wwe humwonagi Tundu Lissu akifoka? Au Mbowe? Mdude?

Yaani kupanda mikokoteni, punda, kuteka, kuua, na kupiga kelele, wakati kichwani hamna kitu, tayari huyo ni kiongozi shupavu na mkakamavu.
Nenda mahakamani. Hamna ushahidi. Kupanda mikokoteni ni jinai? Mnaunga unga mpaka mnaboa. ati kuua kupanda mikokoteni na kupiga kelele ni kitu kimoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…