Ya Makonda na wasanii imebuma, na hii ya Russia itabuma

Ya Makonda na wasanii imebuma, na hii ya Russia itabuma

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Itabuma tu maana ukweli una tabia moja tu: unajitetea wenyewe.
Haujitaji mtu kuutetea.

Unaweza kuichelewesha, lakini kuna siku utaibuka
 
Itabuma tu maana ukweli una tabia moja tu: unajitetea wenyewe.
Haujitaji mtu kuutetea.
Unaweza kuichelewesha, lakini kuna siku utaibuka
chuki binafsi ni kitu mbaya sana aise, inatesa mno wafuata mkumbo dah !🤣
 
Madogo hawaoneshi kucheza kwa shinikizo la maccm! Inavyo onekana walimu wao wamewaandaa vizuri kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom