Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,577
Reaction score
3,146
Hili jambo la mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete mchumba naona linazidi kukomaa,si utamaduni wetu japo sio mbaya sana kwani ni effects za globalization kwenye muingiliano wa kiutamaduni na wazungu/waarabu/wachina na vile tunasema "strong culture absorbs weak culture" na hii inachangiwa sana na nguvu ya kiuchumi.

Tuyaache hayo,leo Mc wa taifa Pilipili kama anavyojiita mwenyewe kamvisha pete mdada mrembo sana huko Boko Dsm hongera kwake but concern yangu kubwa ni kitendo cha yeye Pilipili kama Mwanaume kulia sana wakati kapiga goti mbele ya binti halaf binti anaonekana hana hata chembe ya hofu na kuguswa na kilio cha pilipili,huu ni udhaifu ambao kama.

Mwanaume lijali hakika hupaswi kuuonyesha,that is a big point of weaknes,hata kama umewahi kuumizwa sana kwenye mapenzi jitahidi usitoe chozi mbele ya mwanamke ambaye si mama yako,hii itakusaidia sana hata ukiwa kwenye ndoa ukitoa maamuzi yanakua ya kiume kweli kweli but hii ya kulia lia si dalili njema sana,kwa anayewajua vizuri wanawake atakua amenielewa.

By the way hongera sana Pilipili kwa kupata mchumba
Mchekeshaji maarufu Bongo, MC Pilipili jioni ya leo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake (Mke mtarajiwa) Philomena Thadey, nyumbani kwa Wazazi wa mwanamke maeneo ya Boko (Tegeta) jijini DSM, sherehe hiyo imehudhuriwa na watu mbalimbali wa Serikali na taasisi zisizo za kiserikali.
 
Don't be quick to judge. You never know.

Hizi nyoyo zetu tunazotembea nazo bwana, acha zijifiche tu zimebeba mengi.

Huwezi jua huyo mdada ana impact gani katika maisha yake. Maybe its a dream come true, maybe she saved his life.... maybe he never thought he would ever be loved again after previous breakup.

Let him cry his heart out. Whatever is in his heart, his Lord understands better.
 
mbona Chura hakuna !!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Mc pilipili wanawake wengi walikutosa but mrembo cute Mena ka kukubali wapo watakaokuponda jinsi ulivo propose Kuwa ni udhaifu hyo ni mentality ya kimfumo dume, cute Mena ni malkia wako na wewe ka binadamu una hisia usiogope kuzionesha. All the best kwenye ndoa yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dada kamkubali nakupenda na kumu support mana Mc pilipili wadada walikuwa Wana mtosa na kumkimbia plus dharau. I'm happy for him aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una akili sanaaA
Hata mimi kuna demu siku nikimuoa nitalia mpaka nitoe kamasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…