Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
duuh,ila mke ndo anapaswa kulia na kupiga goti coz kuolewa ni bahati na wala sio haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuh,ila mke ndo anapaswa kulia na kupiga goti coz kuolewa ni bahati na wala sio haki
kwa nini wamtose?Hongera Mc pilipili wanawake wengi walikutosa but mrembo cute Mena ka kukubali wapo watakaokuponda jinsi ulivo propose Kuwa ni udhaifu hyo ni mentality ya kimfumo dume, cute Mena ni malkia wako na wewe ka binadamu una hisia usiogope kuzionesha. All the best kwenye ndoa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu,ukafinyangwa udongo na kupuliziwa pumzi akatokea Adam,wakasema tufanye msaidizi ndipo ukachomolewa ubavu wa kuume mwa Adam akaumbwa Eva....Men are always special no matter umefanyiwa nini but you have to live with uspecial wako ulopewa zawadi na Mungu.....but pia yatupasa kumshukuru mwanamke alokufanyia mema but sio kumlilia hadharaniDon't be quick to judge. You never know.
Hizi nyoyo zetu tunazotembea nazo bwana, acha zijifiche tu zimebeba mengi.
Huwezi jua huyo mdada ana impact gani katika maisha yake. Maybe its a dream come true, maybe she saved his life.... maybe he never thought he would ever be loved again after previous breakup.
Let him cry his heart out. Whatever is in his heart, his Lord understands better.
Mungu akasema na tufanye mtu kwa mfano wetu,ukafinyangwa udongo na kupuliziwa pumzi akatokea Adam,wakasema tufanye msaidizi ndipo ukachomolewa ubavu wa kuume mwa Adam akaumbwa Eva....Men are always special no matter umefanyiwa nini but you have to live with uspecial wako ulopewa zawadi na Mungu.....but pia yatupasa kumshukuru mwanamke alokufanyia mema but sio kumlilia hadharani
soma vizuri sentensi yangu ya mwisho just regard!Just so you know it is not a sign of weakness.
Mkuu una akili sanaaA
Hata mimi kuna demu siku nikimuoa nitalia mpaka nitoe kamasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada kamkubali nakupenda na kumu support mana Mc pilipili wadada walikuwa Wana mtosa na kumkimbia plus dharau. I'm happy for him aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
chikichiiii chikichiii chikichiiii eeeh...chikichiii chikichiiii ngapi hiyo....?!
soma vizuri sentensi yangu ya mwisho just regard!
Walimuoma hana hadhi eti wanataka kudanga Nicole Franklin alimkimbia matokeo yake mbunge aliye mpa mimba kamtelekezakwa nini wamtose?