Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Haka kajamaa kama kuna watu wanakafaham leo hii Wanaume wa Humu ndani Tupitishe Muswada/Azimio tukatenge haka kajamaa kanakodharirisha wanaume halisi hivi.

Naomba nilete huu mswada kwenu tuangalie kama akidi itatimia tukatenge kapumbuvuu kabisa haka. Kana mpa dada wa watu kazi ya kukabembeleza. Naye huyu dada anapatikana wap nimcheck?
 
Hili jambo la mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete mchumba naona linazidi kukomaa,si utamaduni wetu japo sio mbaya sana kwani ni effects za globalization kwenye muingiliano wa kiutamaduni na wazungu/waarabu/wachina na vile tunasema "strong culture absorbs weak culture" na hii inachangiwa sana na nguvu ya kiuchumi.
Tuyaache hayo,leo Mc wa taifa Pilipili kama anavyojiita mwenyewe kamvisha pete mdada mrembo sana huko Boko Dsm hongera kwake but concern yangu kubwa ni kitendo cha yeye Pilipili kama Mwanaume kulia sana wakati kapiga goti mbele ya binti halaf binti anaonekana hana hata chembe ya hofu na kuguswa na kilio cha pilipili,huu ni udhaifu ambao kama.mwanaume lijali hakika hupaswi kuuonyesha,that is a big point of weaknes,hata kama umewahi kuumizwa sana kwenye mapenzi jitahidi usitoe chozi mbele ya mwanamke ambaye si mama yako,hii itakusaidia sana hata ukiwa kwenye ndoa ukitoa maamuzi yanakua ya kiume kweli kweli but hii ya kulia lia si dalili njema sana,kwa anayewajua vizuri wanawake atakua amenielewa.

By the way hongera sana Pilipili kwa kupata mchumbaView attachment 987138View attachment 987135
Mshamba huyu mgogo, afu atatombewa sana inaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom