Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Huyu dada kamkubali nakupenda na kumu support mana Mc pilipili wadada walikuwa Wana mtosa na kumkimbia plus dharau. I'm happy for him aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Walikuwa wanamtosa sababu nasikia jamaa ni aina ya Wale Wanaume wenye viherehere. Wanaongea sana. Na Mwanaume unapaswa kuwa na Akiba ya Maneno. Sasa unaambiwa akiwa na Demu halafu akakutana na Marafiki wa huyo Demu ni yule Mwanaume asiyekuwa na Haiba. Anaongea anapitiliza. Aliwahi kudate na Rafiki yangu Mmoja hivi siwezi kumtaja hapa. Alimwacha kwa mambo yake hayohayo. Atofautishi Mahusiano na Comedy zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So ulitaka akamlilie chumbani? Afu mdada awaze nini labda?

He is genuine. He let his feelings flow when they rose.

Let him be. Usimoangie qhat makes hima a man and what you think makes him a lesser man.
Nimekuelewa sana we ni mwanamke wa aina gani na unapenda nini....have a gud night
 
Jinga kabsa ili
zephilineeze-20181026-0001.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mwanaume Kuwa na kiherehere haipendezi sana au kutangaza mambo hovyo ni kero wala. Ila huyu cute Mena wameendana naye vzuri kabisa aisee. Mungu awasaidie

Back
Top Bottom