Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Mimi wyf alipiga yeye!! Hahaha , eti akaniambia "piga magoti basi" , yani mbele ya wazazi wa pande zote mbili duh;;; nikamwambia "utapiga wewe, Fara wewe" 😁
Hata mie wa kwangu alitaka nipige magoti nikakataa akanunaa! Mshenga akaniambia yaani ungepiga goti hapo ningerudi Dar sasa hivi! Tunaiga tu bila hata kujua. Mwanaume rijali. Wa kiafrika hutakiwi uwe hivyo. Unajua hata hii cheza cheza kwenye ndoa mnaingia ukumbini mnacheza ni ndoa zenu hizi za kuanzia 2010 nadhani na kuendelea. Mnaiga wa Nigeria. Enzi zetu unakutana na best man kauzu ana moustach kama bumper la vokswagon hakuruhusu hata kutikisika. Kipande cha keki au nyama kinapimwa kwa rula.
 
Kuna watu wanatafsiri ulijali kwa tafsiri zakijinga sana.

Hivi uanaume wangu au ulijali wangu unaathirika vp kama me ntapiga goti moja kumvisha pete mchumba wangu?

Hawa ndo wale utawaskia wanajiita wagumu, na mara nyingi ni maisha ndo huwa yanawapa mentality hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nashangaa yaani aogope kulia, kupiga magoti mbele ya sweet wake kisa ni mwanaume Jamaniiii MAPENZI HAYANA KOMANDO.
 
Back
Top Bottom