atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Halafu jamaa anasema hatamgusa mpaka wafunge ndoa,wakati kuna jamaa anajilia tuuHalaf unakuta watu mwanamke mwnyw waneshamfumua marinda,ndg zake nao wamekaa hapo wanapiga vigelevigele tu
Ikwapi?
Naam.. Tanzania inahitaji wanaume dizaini yako.. Wanaume aina ya MC Pilipili wanaturudisha nyuma sanaHata mie wa kwangu alitaka nipige magoti nikakataa akanunaa! Mshenga akaniambia yaani ungepiga goti hapo ningerudi Dar sasa hivi! Tunaiga tu bila hata kujua. Mwanaume rijali. Wa kiafrika hutakiwi uwe hivyo. Unajua hata hii cheza cheza kwenye ndoa mnaingia ukumbini mnacheza ni ndoa zenu hizi za kuanzia 2010 nadhani na kuendelea. Mnaiga wa Nigeria. Enzi zetu unakutana na best man kauzu ana moustach kama bumper la vokswagon hakuruhusu hata kutikisika. Kipande cha keki au nyama kinapimwa kwa rula.
Duh!!Yes mkuu
Naona unalazimisha gametiuke kufanana na gametiume katika usawa wa tabia kama vile wewe ndiye unayetujua vzr sana Wanaume kuliko sisi wenyewe tunavyojijua kiuhalisia wa tabia zetu.mnhhhhhh kwa nini unalazimisha watu(wanaume ) wafanane??kila mtu ana upbringing tofauti,personality tofauti,experiences za Maisha tofauti..values za mwanaume A haziwezi kufanana na mwanaume B,sababu malezi sio kama kitabu/manual Fulani kila mzazi ni lazima awe nacho na akifate kanuni zake katika kulea...
Wanaume suruali hujulikana tu kimatendo kutokujiamini ku dharau wanawake ndo wanafiki urijali kumbe hata shoga anasimamisha mfyuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona ume catch feelings bibie, mie nimeuliza very gently why giving a very harsh response aisee? Ofcourse i know its a free platform ila why untukane sasa?Usinipangie hii open forum mbona wewe una comment kwa raha zake siku disturb if ur a real thinker argument ni jambo la kawaida na sio la kushangaa. So mind ur business mie mjuaji wewe mbulula mbona yamrkushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi useless ninaeongea ukweli lakini
Sikuwa hata na hio dhamira ila ametumia profanity language.Acheni kum bully dada wa watu...
Naona unazidi kujifariji sana kama vile nawe umeanza kuwa Dume la mbegu kwa kutetea ujinga ili uwe unaliliwa liliwa na Mumeo kama kitoto kuchanga.
Ndio maana kuna mimi na mc pilipili. Ur very right! Ila mwanaume anaeishi kinyume na standards za kiume anashangazamnhhhhhh kwa nini unalazimisha watu(wanaume ) wafanane??kila mtu ana upbringing tofauti,personality tofauti,experiences za Maisha tofauti..values za mwanaume A haziwezi kufanana na mwanaume B,sababu malezi sio kama kitabu/manual Fulani kila mzazi ni lazima awe nacho na akifate kanuni zake katika kulea...
Wazazi wangu wako perfect asilimia zote na kamwe even my daddy hana mambo ka yako ya kuumini mfumo dume eti ndo uanaume hayuko hvo. Wewe blame society iliyokulea vibaya kwa kuamini uanaume ni kuvumilia mateso na kutoonesha hisia ndo mana huwa mnakufa siku si zenu kwa kuweka vtu mioyoni.Naona unazidi kujifariji sana kama vile nawe umeanza kuwa Dume la mbegu kwa kutetea ujinga ili uwe unaliliwa liliwa na Mumeo kama kitoto kuchanga.
Pole sana kulelewa na wazazi vimeo wasiojua mipaka yako katika kuelewa utofauti wako ww na Mumeo kitabia.
Sent using Jamii Forums mobile app