Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Halafu jamani Watanzania sijui tuna matatizo gani? Kikawaida tukio la kumvalisha binti pete linatakiwa kufanywa SAPRAIZ! Sasa huwezi kuandaa sherehe, ukaita watu including na binti mwenyewe, watu wakashona sare, matarumbeta, nakadhalika halafu eti unapiga goti unamuuliza binti "Will you marry me?" Halafu akikubali unalia.. [emoji23][emoji23][emoji23] We ulitegemea akatae sasa kaja kufanya nini ukumbini..?🤣🤣🤣🤣🤣
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama mwanamke alienae ni zwazwa basi lazima atafanya hivyo. Hakuna kitu wanawake wanashindwaga kuelewa kama a man's vulnerability...wanaume si wafungukaji kirahisi kihisia (inachangiwa sana na mitazamo ya kijamii toka anapokua mtoto) so mwanaume kuweza kuonesha hisia zake wazi kwa mwanamke ni kielelezo tosha cha mapenzi ya dhati kwa huyo mtu au kumaanisha kile anachokifanya kutoka moyoni mwanamke hapaswi kuitumia hio kama silaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Bahati mbaya si kwa mwanamke wa kiafrika. Kuonesha hilo dhahiri ni kama kuuza ramani ya vita kwa adui. Mwanaume hajawahi kubaki salama baada ya kujianika kuwa hajiwezi kwa penzi la mwanamke wa kibongo.
 
Hata mimi hiyo video nimeiona,ameniboa sana na niliona kama inamdhalilisha sana.Sisi wanaume ndio tunachagua wanawake na kama hajakuridhisha unapiga chini.Amempa confidence sana huyo mdada na inavyoonekane brother kaonewa huruma tu kwani jamaa wakati analia dada wa watu alikuwa zake busy
Hahah hio mbona iko wazi.
 
Unless uwe unaigiza humu, but ironically you sound kama mwanamke flani mjuaji na mbinafsi sana. You need mwanaume alie very strong ku deal na character yako otherwise sie tunaopenda mahusiano bila kelele na makwazo tutakuwa tunaishia njiani tu.

Wa hivyo ni kumuacha tu adeal na dildo mpk hio niaje iote sugu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unless uwe unaigiza humu, but ironically you sound kama mwanamke flani mjuaji na mbinafsi sana. You need mwanaume alie very strong ku deal na character yako otherwise sie tunaopenda mahusiano bila kelele na makwazo tutakuwa tunaishia njiani tu.
Hata sio mjuaji na ubinafsi kwangu mwiko napendwa na kila mtu. I'm not selfish so don't judge what I believe with ur perception in your head my dear. Napataga wanaume waelewa na vilaza fa fa fa kwangu hawana nafasi mkuu. Kwanza hata kuongea huwa binde and once I spoke you will wonder walah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kakuzidi kila kitu. Nilijua we ndio umemzidi kila kitu! Hio mbona ni logical. Ila pamoja na yote hajawahi kukulillia mbele ya kadamnasi
Achana nalo hilo jimama, ukute hata kuolewa kwenyewe haujaolewa, au lilishaolewa mara nyingi tu likaachika, so linabaki kukandia tu Wanaume ilimradi lionekane lina uelewa sana wa uhalisia wetu sisi Wanaume, utadhani na lenyewe lina jinsia mbili sawa na dume jike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unless uwe unaigiza humu, but ironically you sound kama mwanamke flani mjuaji na mbinafsi sana. You need mwanaume alie very strong ku deal na character yako otherwise sie tunaopenda mahusiano bila kelele na makwazo tutakuwa tunaishia njiani tu.
Ujinga wote linaotetea humu na jinsi linavyojisifia kuwa ni "wife material" ni tofauti kabisa na Wake wanaojitambua, tena na lenyewe linajisifia kabisa kuwa linamshukuru sana Mungu, PUMBAVU! Labda awe mungu mtu wa kiunoni, kwapani na chale za mwilini ila si Muumba mbingu na nchi aruhusu Wanaume tunaojitambua kusapoti huu ujinga kwa jinsi tulivyoumbwa kitabia na urijali tulionao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningemuelewa Pilipili kama huyu demu angekuwa gate Kali,tabia njema, dini Sana lakini kampata na kumvisha Pete.

Ila siku zote yuko naye,wanasafiri pamoja,wanalala pamoja, wanakulana as they wish halafu anakuja kutulilia. Haya ni maigizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujinga wote linaotetea humu na jinsi linavyojisifia kuwa ni "wife material" ni tofauti kabisa na Wake wanaojitambua, tena na lenyewe linajisifia kabisa kuwa linamshukuru sana Mungu, PUMBAVU! Labda awe mungu mtu wa kiunoni, kwapani na chale za mwilini ila si Muumba mbingu na nchi aruhusu Wanaume tunaojitambua kusapoti huu ujinga kwa jinsi tulivyoumbwa kitabia na urijali tulionao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha anajiamini anapendwa
 
Achana nalo hilo jimama, ukute hata kuolewa kwenyewe haujaolewa, au lilishaolewa mara nyingi tu likaachika, so linabaki kukandia tu Wanaume ilimradi lionekane lina uelewa sana wa uhalisia wetu sisi Wanaume, utadhani na lenyewe lina jinsia mbili sawa na dume jike.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anafeli sana yani ujuaji mwingi
 
Hata sio mjuaji na ubinafsi kwangu mwiko napendwa na kila mtu. I'm not selfish so don't judge what I believe with ur perception in your head my dear. Napataga wanaume waelewa na vilaza fa fa fa kwangu hawana nafasi mkuu. Kwanza hata kuongea huwa binde and once I spoke you will wonder walah

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unapenda arguments sana most of the times, like you never takes things easy. I wonder kama kuna utulivu kweli katika kubadilishana kauli
 
Back
Top Bottom