Wewe mie sijapoyosha mtu hapa Mc pilipili kafanya jambo sahihi kuonyesha hisia zake na hajawa mnafiki real man ndo anavotakiwa usipomlilia mkeo anayekuvulia na kulala uchi utamlilia nani.
Hafu Kuwa mwanaume hakukupi class ya uelewa ka mjinga unakuwa tu mjinga kukwepa kuonyesha hisia nakuwa bandidu huo sio uanaume ni udhaifu ka udhaifu mwingine.
Society yako imeku shape kuona mwanamke sio wa kupendwa na kuheshimwa ndo mana unaona Mc kafanya kitu hovyo kumbe was right kabisa.
Mie mwanangu nitamlea kwa misingi ya utu na ubinadamu tena aheshimu mwanamke ka chombo cha thamani sio nyie mnaamini kumdharau mwanamke ndo uanaume huo.
Mie mpenzi wangu muelewa ananiheshimu na mheshimu mno na ananisikiliza licha ya kunizidi kila kitu kuanzia elimu umri had dhambi lakini husikiliza hisia zangu nami humpa ushauri mpaka ananishangaa tena ananipenda kuliko maelezo. Huyo ndo mwanaume kamili ninaye mpenda.
Sasa nyie bakini na mila potovu zenu za kutokuheshimu wanawake eti si urijali aaargh
Sent using
Jamii Forums mobile app