Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah hongera sanaNdio napenda mtu aliyenizidi kila kitu had dhambi. Akiwa na emotions alie tu maana kulia ni kuonyesha hisia nami nitamweshimu sama
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah hongera sanaNdio napenda mtu aliyenizidi kila kitu had dhambi. Akiwa na emotions alie tu maana kulia ni kuonyesha hisia nami nitamweshimu sama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata siku moja big G haiwezi kuitwa gundi japo ina nature ya kukamata baadhi ya vitu kama ilivyo gundi. A man has his moral values kama mwanamume japo wote ME na KE ni binadamu.
Hahaha anajiamini anapendwa
Huyu jamaa ni mgogo nini!?....ana sura ya ombaomba!Hili jambo la mwanaume kupiga goti wakati wa kumvalisha pete mchumba naona linazidi kukomaa,si utamaduni wetu japo sio mbaya sana kwani ni effects za globalization kwenye muingiliano wa kiutamaduni na wazungu/waarabu/wachina na vile tunasema "strong culture absorbs weak culture" na hii inachangiwa sana na nguvu ya kiuchumi.
Tuyaache hayo,leo Mc wa taifa Pilipili kama anavyojiita mwenyewe kamvisha pete mdada mrembo sana huko Boko Dsm hongera kwake but concern yangu kubwa ni kitendo cha yeye Pilipili kama Mwanaume kulia sana wakati kapiga goti mbele ya binti halaf binti anaonekana hana hata chembe ya hofu na kuguswa na kilio cha pilipili,huu ni udhaifu ambao kama.
Mwanaume lijali hakika hupaswi kuuonyesha,that is a big point of weaknes,hata kama umewahi kuumizwa sana kwenye mapenzi jitahidi usitoe chozi mbele ya mwanamke ambaye si mama yako,hii itakusaidia sana hata ukiwa kwenye ndoa ukitoa maamuzi yanakua ya kiume kweli kweli but hii ya kulia lia si dalili njema sana,kwa anayewajua vizuri wanawake atakua amenielewa.
By the way hongera sana Pilipili kwa kupata mchumbaView attachment 987138View attachment 987135
Mchekeshaji maarufu Bongo, MC Pilipili jioni ya leo amemvalisha pete ya uchumba mpenzi wake (Mke mtarajiwa) Philomena Thadey, nyumbani kwa Wazazi wa mwanamke maeneo ya Boko (Tegeta) jijini DSM, sherehe hiyo imehudhuriwa na watu mbalimbali wa Serikali na taasisi zisizo za kiserikali.
Yes mkuuSijaelewa manake hili suala sikuwahi kulifuatilia!
Ni kwamba MC Pilipili alikuwa analia kama ambavyo wanawake wanavyolia wakati wa kuvishwa pete au kufunga ndoa, au?!
Unazidi kumfundisha ujinga Dada..mwanaume huwa halii.Bali macho huwa mekundu.Hongera Mc pilipili wanawake wengi walikutosa but mrembo cute Mena ka kukubali wapo watakaokuponda jinsi ulivo propose Kuwa ni udhaifu hyo ni mentality ya kimfumo dume, cute Mena ni malkia wako na wewe ka binadamu una hisia usiogope kuzionesha. All the best kwenye ndoa yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mkung'uto wa juzi hauja kuingia Vizuri, sasa jiandae
Achana nalo hilo jimama, ukute hata kuolewa kwenyewe haujaolewa, au lilishaolewa mara nyingi tu likaachika, so linabaki kukandia tu Wanaume ilimradi lionekane lina uelewa sana wa uhalisia wetu sisi Wanaume, utadhani na lenyewe lina jinsia mbili sawa na dume jike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga wote linaotetea humu na jinsi linavyojisifia kuwa ni "wife material" ni tofauti kabisa na Wake wanaojitambua, tena na lenyewe linajisifia kabisa kuwa linamshukuru sana Mungu, PUMBAVU! Labda awe mungu mtu wa kiunoni, kwapani na chale za mwilini ila si Muumba mbingu na nchi aruhusu Wanaume tunaojitambua kusapoti huu ujinga kwa jinsi tulivyoumbwa kitabia na urijali tulionao.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa mikoani wakifika dar hadi huruma aiseee
Kwanini unapenda arguments sana most of the times, like you never takes things easy. I wonder kama kuna utulivu kweli katika kubadilishana kauli
Huyo Muumba mlishamuona au mnajificha kwenye kichaka cha uumba Ili kuonekana bora.Unazidi kumfundisha ujinga Dada..mwanaume huwa halii.Bali macho huwa mekundu.
Mfumo dume aliuasisi muumba mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app