kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,470
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu jamani Watanzania sijui tuna matatizo gani? Kikawaida tukio la kumvalisha binti pete linatakiwa kufanywa SAPRAIZ! Sasa huwezi kuandaa sherehe, ukaita watu including na binti mwenyewe, watu wakashona sare, matarumbeta, nakadhalika halafu eti unapiga goti unamuuliza binti "Will you marry me?" Halafu akikubali unalia.. [emoji23][emoji23][emoji23] We ulitegemea akatae sasa kaja kufanya nini ukumbini..?🤣🤣🤣🤣🤣