Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali

Mbona ume catch feelings bibie, mie nimeuliza very gently why giving a very harsh response aisee? Ofcourse i know its a free platform ila why untukane sasa?
I don't have any feelings nimejibu according to what u wrote early ulitumia hisia badala ya logic.

Kwanini na wewe uchallenge what I believe and judge me what the he'll do you think ur.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe baki na theory za ku cremisha eti dume atabaki dume loh. Mwanaume hujiamini kipimo chako had ushindane na wanawake una shida
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kukudanganya kuwa Mwanaume asipokulilia ndiyo ana mfumo dume?

Huo mfumo wenu wa haki sawa ndiyo unaowajengea viburi/jeuri ktk ndoa zenu ndiyomaana kila siku mnazidi kuachwa tu mkijilaumu kuwa hakuna Wanaume wa kuishi nanyi ktk ndoa kumbe wachawi wakuu ni ninyi ninyi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora kuachika kuliko kuishi kwenye mateso tutadai haki zetu popote pale by any means mpaka mubadilike muwe na heshima. Hayo mambo ya kale ya mateso Ili ndoa idumu hayana nafasi karne hii useme usipokuwa na mtu unakosa oxygen never, never.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka ujao na mimi nitatoa machozi.
Haya andaeni maandamano ya kupinga.
 
Naunga mkono hoja.
Nitaonyesha uanaume wangu kwa mengine lakini kwenye mapenzi nasurrender to my emotions.
Kama huu ni udhaifu basi namshukuru Mungu kwa hilo.
 
Uko right mapenzi kitu kingine walah hayana mubabe au jemedari aisee kupenda kitu kingine mie nilijiapiza sipendi Ila nilipo patikana nilinyooka. Imagine watu mashuhuri hasa wafalme walikuwa dhaifu kwa wake zao
Naunga mkono hoja.
Nitaonyesha uanaume wangu kwa mengine lakini kwenye mapenzi nasurrender to my emotions.
Kama huu ni udhaifu basi namshukuru Mungu kwa hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I don't have any feelings nimejibu according to what u wrote early ulitumia hisia badala ya logic.

Kwanini na wewe uchallenge what I believe and judge me what the he'll do you think ur.

Sent using Jamii Forums mobile app
What you believe ni ujuaji? Ama umejiskia tu kuongea shit!
 
Hisia zako ndo zinakutumika hivo niko normal mbona. Yani mjinga wa JF anitese Ili iweje

Sent using Jamii Forums mobile app
Maana umeanza kuongea matusi which shows how upo weak. Una potray irony ya mtu flani ambae yupo arrogant katika kila post. Is that supposed to be a judgement? Ni maoni tu ungekuwa na busara unge take it easy instead of attacking me na matusi.
 
Wewe umekuja na judgement zako ulitegemea nini. Dawa ya shit ni shit tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kwa lugha hizi unajinadi kuwa wewe ni mtu smart kweli. Mwanamke smart hawezi kutumia kauli chafu ili kupata attention. Unaweza tumia kauli soft na bado ukawa umeeleweka tu.
 
Hata sijaanza matusi ulianza character assassination simply we differ in arguing and then ukakimbilia ujuaji kwahyo na wewe u mjuaji simply vile mi ni ke nisiwe huru kuandika nikisikiacho vile waweza ni label as arrogant like seriously, mumeshindwa hoja na huyo mwenzako mkaanza attack.
Maana umeanza kuongea matusi which shows how upo weak. Una potray irony ya mtu flani ambae yupo arrogant katika kila post. Is that supposed to be a judgement? Ni maoni tu ungekuwa na busara unge take it easy instead of attacking me na matusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kwa lugha hizi unajinadi kuwa wewe ni mtu smart kweli. Mwanamke smart hawezi kutumia kauli chafu ili kupata attention. Unaweza tumia kauli soft na bado ukawa umeeleweka tu.
Natumia lugha yoyote ninayo jiskia mda huo na hyo haiondoi u smart or whatever. Sometimes soft language doesn't matter.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…