Ya MC Pilipili hayapaswi kufanywa na mwanaume rijali


Kulia hakukuzuii kufanya mambo mengine,Kama kwenye hio scenario hapo kwani MC Pili pili si eventually alimvisha hio pete??au alilia akarudi na Pete yake??kukosa Ada ya Mtoto kunaweza kumfanya mke au mume alie Ndio,lakini baada ya kulia si unatafuta Ada?? Kwanza kulia baada ya kukosa Ada kuna release tension mapema hivyo inakupa muda zaidi wa ku focus......,
 
Niliwahi ambiwa ukishindwa kumudu kitu kidogo huwezi mudu kikubwa abadani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishaonyesha kuwa wewe kama kiongozi una wasiwasi au huna control ya jambo linalowasibu, utawafanya wanaokutegemea wakate tamaa.Na likitokea jambo lingine kamwe hawatakuona kama mtu mwenye msaada kwao.
 
Ukishaonyesha kuwa wewe kama kiongozi una wasiwasi au huna control ya jambo linalowasibu, utawafanya wanaokutegemea wakate tamaa.Na likitokea jambo lingine kamwe hawatakuona kama mtu mwenye msaada kwao.

Mnhhhhh naona hatutaelewana kwa sababu umelelewa kuwa kulia ni udhaifu,Dalili ya wasiwasi,kuwa not in control,hivi vyote sio kweli ,kulia sometimes it means ume hold back stress,ama mawazo Fulani ambayo yanakusumbua kwa muda,kulia ni kama unafunga jalada na kuanza kurasa mpya,soo mbaba akilia Kwangu ni sign kuwa anapata nguvu/wazo/mbinu mpya ,utaona jinsi ilivyo beneficially to us men and women
 
Kweli, let us agree disagreing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini ile haikuwa kichekesho ni udhaifu kwa wanawake wa wanaume wa dar

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hivi wanaume wa Dar wanasema msigeneralize semeni wanaume wa "Sinza" mana mwanaume wa Dar kutoka Mbagala au Yombo dovya huwezi kukuta ana mambo ya kimama mama,halafu ujue pilipili sio wa Dar ni wa kwa Wakoma
 
Kulia hakukuzuii kufanya mambo mengine,Kama kwenye hio scenario hapo kwani MC Pili pili si eventually alimvisha hio pete??
Hapana... kama MC Pilipili alilia, basi yeye ndo alivalishwa pete, and I don't care nani alishika hiyo pete kuingiza kwenye kidole cha mwenzake!
 
sasa hivi wanaume wa Dar wanasema msigeneralize semeni wanaume wa "Sinza" mana mwanaume wa Dar kutoka Mbagala au Yombo dovya huwezi kukuta ana mambo ya kimama mama,halafu ujue pilipili sio wa Dar ni wa kwa Wakoma
Hata huku Tandika hatuna huo umama na ndio maana hata hao watoto wa Sinza wakija pande hizi lazima waje kwa makundi!
 
Hamna bhana, MC Nyanya kazingua... hivi umeona ule uliaji wake, au? Huyu hapa...

Huo ni uliaji wa kuonesha he's not in control... halafu demu alivyo kauzu, anamtazama tu!! Matokeo yake sasa kila mwanaume anaanza kulia...
 
Amejidharirisha sana, kwa sasa anaweza ona upendo umemzidia lakin kwa baadaye atakuja kujuta huo ujinga wake
 
Mwingine huyu hapa tena🤣🤣🤣.

Kilio cha machozi ya maji tiririka ni cha kina mama kuexpress hisia zao za mwisho, siyo kwa mwanaume bhana.

Mwanaume halii kike, analia kwa kuunguruma kama simba dume, tena kwa matukio machache ya kufikia climax ya kushiriki tendo na mwanamke aliyemtesa kihisia muda mrefu.

Jambo la furaha ya kupata haliwezi kumliza mwanaume hadharani hata siku1.
 
He is stupid
 
Ww mzee umechanganyikiwa
 
Tumia akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…