Ongezea na mleta hiyo hoja naye ni mpumbavu.Hii ni ramli chonganishi, yaani ACT ndio ya kuiua cdm kisa Membe kaenda ACT? CDM kuweni makini na hadithi za hivi, lengo lake ni kuleta ugomvi baina ya cdm na ACT kwa faida ya ccm. Huu ni upumbavu kama. Upumbavu mwingine.
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Mjinga in mamako na mwenyekit wakoWajinga waache. Wamepata mabilioni ya pesa from 2015-2020 kama ruzuku. Hawakujenga hata ofisi za maana. Hawakujitangaza huko mashinani. Hawakudai Tume huru. Walipoambiwa hakuna siasa, wakaitika, "ndio mzee". Walikwishaambiwa na Jiwe tangu siku ya ufunguzi wa Bunge kuwa kulikuwa na lengo la kuwaua (Upinzani). Mbowe karidhika sana na cheo cha mkuu wa upinzani bungeni. Hana mpango wa kwenda zaidi ya hapo.
Mjinga in mamako na mwenyekit wako
Yuko zzk mwenyewe na baadhi ya wanachigomaHivi act ana wanachama kweli huku bara au?
Chadema ni mpango wa Mungu. Hakuna atakayeweza kuiuaYooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
2015 mlishindwa "kunusa hatari"?Tunajitambua kuliko unavyofikiri, chadema ina jua kunusa hatari pengine kuliko hata nyinyiem
Ndio demokrasia hiyo.Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
CHADEMA miaka mitano hawakufanya siasa yoyote.Wajinga waache. Wamepata mabilioni ya pesa from 2015-2020 kama ruzuku. Hawakujenga hata ofisi za maana. Hawakujitangaza huko mashinani. Hawakudai Tume huru. Walipoambiwa hakuna siasa, wakaitika, "ndio mzee". Walikwishaambiwa na Jiwe tangu siku ya ufunguzi wa Bunge kuwa kulikuwa na lengo la kuwaua (Upinzani). Mbowe karidhika sana na cheo cha mkuu wa upinzani bungeni. Hana mpango wa kwenda zaidi ya hapo.
CHADEMA miaka mitano hawakufanya siasa yoyote.
Mikutano ilizuiliwa, viongozi wakabambikwa kesi, wengine wakauwa na kupotezwa, wengi wakawekwa ndani, wengine wakapigwa marisasi!!
Badala ya kubeza ungewaonea huruma!!
Bila shaka wewe mnufaika Lumumba.
Huyo lumumba kamanda wala usipoteze muda kubishana nayeCHADEMA miaka mitano hawakufanya siasa yoyote.
Mikutano ilizuiliwa, viongozi wakabambikwa kesi, wengine wakauwa na kupotezwa, wengi wakawekwa ndani, wengine wakapigwa marisasi!!
Badala ya kubeza ungewaonea huruma!!
Bila shaka wewe mnufaika Lumumba.
Ruzuku haitegemei mbunge ni bara au zenjiHivi act ana wanachama kweli huku bara au?
Wote maCCMYooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.
Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.
...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Hizi ni porojo za kututenganisha tusiunganishe nguvu kumtoa Dada Idi amini wa tanzania october 2020Nyie watu muwe na akili basi japo hata kidogo. Dhumuni la Zitto ni kuimarisha chama chake na pia kuleta ushindani kwa CCM. Mpaka sasa wansiasa pekee ambao wanaweza kuleta changamoto kwa Mkulu uchaguzi wa October ni Lissu na Membe. Waliobaki wote waoga.
Zitto alikuwa na najua yupo tayari kuungana na CHADEMA iwapo watamsimamisha Lissu kugombea. Lakini mpaka sasa Lissu hatuna uhakika atarudi kweli au ndio yale yale ya mwaka jana. Je asiporudi itakuaje?
Kwa kuliona hilo ndio maana Zitto anaangalia plan B ya kumchukua Membe aongeze nguvu katika chama chake. TATIZO NI TUNDU LISSU HANA UHAKIKA WA KURUDI HUYU NDIO KIKWAZO KWA SASA KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS.
Acheni kumlaumu Zitto.
Kwani huo ulikuwa uchaguzi??Mkuu itapata wabunge kwa tume ipi? Kwann haikupata wabunge kwenye chaguzi ndogo za wabunge mf Kinondoni, Siha, Kakonko, n.k? Chadema inaweza isiwe na mbunge hata mmoja uchaguzi huu. Ndiyo maana kwa kuiona hatari hiyo wengi wanaunga juhudi.