Uchaguzi 2020 Ya Membe na kina Zitto, mpango ni CHADEMA kife

Uchaguzi 2020 Ya Membe na kina Zitto, mpango ni CHADEMA kife

Hii ni ramli chonganishi, yaani ACT ndio ya kuiua cdm kisa Membe kaenda ACT? CDM kuweni makini na hadithi za hivi, lengo lake ni kuleta ugomvi baina ya cdm na ACT kwa faida ya ccm. Huu ni upumbavu kama. Upumbavu mwingine.
Ongezea na mleta hiyo hoja naye ni mpumbavu.
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!

Acha uchonganishi.
 
Wajinga waache. Wamepata mabilioni ya pesa from 2015-2020 kama ruzuku. Hawakujenga hata ofisi za maana. Hawakujitangaza huko mashinani. Hawakudai Tume huru. Walipoambiwa hakuna siasa, wakaitika, "ndio mzee". Walikwishaambiwa na Jiwe tangu siku ya ufunguzi wa Bunge kuwa kulikuwa na lengo la kuwaua (Upinzani). Mbowe karidhika sana na cheo cha mkuu wa upinzani bungeni. Hana mpango wa kwenda zaidi ya hapo.
Mjinga in mamako na mwenyekit wako
 
Usifikiri mimi ni shabiki wa chama. Ushabiki wa vyama nimewaachia nyie wajinga.

Katika ujinga wangu (na wa mama yangu), nataka mabadiliko ya kweli Tanzania. Mbowe alikuwa na nafasi ya kufanya hivyo 2015-20 kwa vile alikuwa na wabunge wengi na ruzuku nzuri. Wabunge wamemkimbia na ruzuku imekwisha bila kitu cha maana. Kweli unataka nisifie na hili? Siwezi kuwa mjinga hivyo kama wewe.

Kwa upande wa chama tawala, 2015-20, kimekuwa kipindi cha kubinya demokrasia. Naam wamejenga barabara, majumba nk, lakini udikteta siyo mfumo mzuri kwa nchi.

Kuanzia leo fahamu kuwa siyo kila anayeandika hapa ni mwanachama wa cha chama fulani. idiot!
Mjinga in mamako na mwenyekit wako
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Chadema ni mpango wa Mungu. Hakuna atakayeweza kuiua
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Ndio demokrasia hiyo.
 
Wajinga waache. Wamepata mabilioni ya pesa from 2015-2020 kama ruzuku. Hawakujenga hata ofisi za maana. Hawakujitangaza huko mashinani. Hawakudai Tume huru. Walipoambiwa hakuna siasa, wakaitika, "ndio mzee". Walikwishaambiwa na Jiwe tangu siku ya ufunguzi wa Bunge kuwa kulikuwa na lengo la kuwaua (Upinzani). Mbowe karidhika sana na cheo cha mkuu wa upinzani bungeni. Hana mpango wa kwenda zaidi ya hapo.
CHADEMA miaka mitano hawakufanya siasa yoyote.
Mikutano ilizuiliwa, viongozi wakabambikwa kesi, wengine wakauwa na kupotezwa, wengi wakawekwa ndani, wengine wakapigwa marisasi!!
Badala ya kubeza ungewaonea huruma!!
Bila shaka wewe mnufaika Lumumba.
 
Eti waonee huruma. Hata hauna aibu. Kule Kenya na Malawi, Moi na Mtharika waliwaonea huruma Wakenya na Wamalawi? Mbona walitolewa? Subiri Jiwe awaonee huruma basi. Mtabaki kuwa wapinzani (kama na wewe uko upande huo). Dikteta anawaambia msifanye mikutano ambayo ni haki yenu kikatiba, na nyie mnaitika, "ndiyo mzee"! Mtasubiri sana. Hata kutumia bilioni 8 kujenga ofisi nzuri za chama mlizuiliwa? Tujikosowe. Tuache kushabikia vyama kama timu za mpira.
CHADEMA miaka mitano hawakufanya siasa yoyote.
Mikutano ilizuiliwa, viongozi wakabambikwa kesi, wengine wakauwa na kupotezwa, wengi wakawekwa ndani, wengine wakapigwa marisasi!!
Badala ya kubeza ungewaonea huruma!!
Bila shaka wewe mnufaika Lumumba.
 
CHADEMA miaka mitano hawakufanya siasa yoyote.
Mikutano ilizuiliwa, viongozi wakabambikwa kesi, wengine wakauwa na kupotezwa, wengi wakawekwa ndani, wengine wakapigwa marisasi!!
Badala ya kubeza ungewaonea huruma!!
Bila shaka wewe mnufaika Lumumba.
Huyo lumumba kamanda wala usipoteze muda kubishana naye
 
Yooote yaliyojiri na yatakayojiri katika siasa za Nchi hii mpango na lengo ni moja tu KUIUA CHADEMA.

Na CHADEMA kama hawajalishtukia hilo basi ni uzembe wao.

...ya Membe na kina Zitto wake lengo ni....!
Wote maCCM
 
Nyie watu muwe na akili basi japo hata kidogo. Dhumuni la Zitto ni kuimarisha chama chake na pia kuleta ushindani kwa CCM. Mpaka sasa wansiasa pekee ambao wanaweza kuleta changamoto kwa Mkulu uchaguzi wa October ni Lissu na Membe. Waliobaki wote waoga.
Zitto alikuwa na najua yupo tayari kuungana na CHADEMA iwapo watamsimamisha Lissu kugombea. Lakini mpaka sasa Lissu hatuna uhakika atarudi kweli au ndio yale yale ya mwaka jana. Je asiporudi itakuaje?
Kwa kuliona hilo ndio maana Zitto anaangalia plan B ya kumchukua Membe aongeze nguvu katika chama chake. TATIZO NI TUNDU LISSU HANA UHAKIKA WA KURUDI HUYU NDIO KIKWAZO KWA SASA KATIKA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS.
Acheni kumlaumu Zitto.
Hizi ni porojo za kututenganisha tusiunganishe nguvu kumtoa Dada Idi amini wa tanzania october 2020
 
Mkuu itapata wabunge kwa tume ipi? Kwann haikupata wabunge kwenye chaguzi ndogo za wabunge mf Kinondoni, Siha, Kakonko, n.k? Chadema inaweza isiwe na mbunge hata mmoja uchaguzi huu. Ndiyo maana kwa kuiona hatari hiyo wengi wanaunga juhudi.
Kwani huo ulikuwa uchaguzi??
Huo ulikuwa kama serikali za mtaa, mkurugenzi aliwanyima mawakala form, ikasababisha kifo cha Akwiline, CHADEMA wakawekwa ndani na kubambikwa kesi za mauwaji!!
Huo ni uchaguzi sasa??
 
Back
Top Bottom