LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Ukiona mke wako anakufanyia jeuri /kiburi Wala usifikiri anazuzuliwa na MTU maana... Kanakuwaga kajinga jinga Fulani hivi kasiko Na mbele Wala nyuma.
Ukitaka ku prove ninacho kwambia, wewe ukiona analeta jeuri muache aende zake tafuta mwanamke mwingine Kazi iendelee.
Metacha Kwa jeuri Na kibri alichokua akikionyesha Kwa Yanga Na wanayanga ungeweza kufikiri labda Sundwons walikuwa wanamtaka kumbe wapi?
Sasa hivi Dogo anachezea Polisi FC.
Yani Hawa Hawa Polisi FC ambao mchezaji wao alipata ajali wakashindwa Hela ya kumuhudumia?
Bila Shaka wewe bwana mdogo Metacha huko Polisi FC wewe ndo utakuwa kiongozi wa migomo kugomea kutolipwa mishahara Na posho Kwa wakati...
Tanzania Hakuna timu zinazo ongoza Kwa kuwalea Na kuwahudumia vizuri wachezaji kama Simba Na Yanga may be Na Azam.
# mke mzuri akiwa Kwa mume wake..
# nikupe darasa la jinsi ya kuuza mechi wewe Dogo Metacha? Uza mechi lakini Kwa akili. Makipa wote Afrika huwaga wanauza mechi lakini wanauza Kwa akili sio kiboya boya kama wewe.
" Pesa yenu nimechukua lakini tukubaliane ili niachie Goli Kwanza lazima mshambulie Na pili nitatoa nafasi tatu mkishindwa kuzitumia vizuri naanza kudaka kiukweli ukweli" alisikika kipa mmoja mwenye akili akisema kuwaambia watu walio Enda kumnunua.