Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ifahamike, huyo Makamu si Hayati baba wa Taifa kwamba eti aendelee kubembelezwa kama mtoto. Yeye si lolote kwamba Chama na Taifa ki/litapungukiwa na kitu pasipo yeye.
Nafuu na jambo jema ni kuwa hata boss wake ameamua kumfungia vioo na hataki tena kujishughulisha naye kwa namna yeyote ile. Uamuzi ni wake!
Nanyi ambao kutwa na kila uchwao mnamshauri Sponsor eti aone namna bora ya kuzungumza na huyo zilipendwa wenu, komeni! Hivi, hamjiulizi kwa nini boss lady anawapiga dana dana kwalo?! Jibu ni moja, ameshaamua kama mbwai na iwe.
Ya safari hii, dogo kawaweza kweli kweli na mbaya zaidi hamkutarajia hata chaguo lake!
Habembelezwi mtu! Na chaguo la boss lady ndilo hilo. Sasa mpende, ama, lau msipende, uamuzi wenu wa ima mu resign ama muendelee kuwamo kundini huku mkiugulia kwa uchungu maamuzi ya Sponsor.