Na kweli huyu bwana ni mhuni. Historia yake inaonesha hivyo tangu utoto wake. Akiwa konda, alimbaka binamu yake, yaani binti ya mjomba wake kabisa, tena kwa mjomba wake alikokuwa akiishi. Kwa sababu ilikuwa ni ndugu kwa ndugu, waliamua kuyamaliza ndani ya ukoo.
Na juzi juzi alivyoteuliwa, yeye mwenyewe alisema kuwa ataenda Dodoma kuuliza kama aendeshe kazi zake kwa namna gani, kihuni ama kawaida, eti kwa sababu yeye anaweza njia zote mbili. Na hasa alimaanisha, aendeshe shughuli zake kijambazi, kwa namna ike ya kuteka na kuua watu au kibinadamu.
Shetani huyu siku zake zinahesabika. Siku za mwovu na uovu wake huhesabika, naye amtegemeaye mwovu, hula mazao ya uovu.