Ya nini huyo Makamu wa Mwenyekiti abembelezwe? Kawa Nyerere?

Kwa makasiriko haya unaweza ukaishia kuugua. Inaonekana bado hujakomaa kisiasa.
 
Kwa hiyo kumbe wewe Suzy Elias uliyekuwa kinara wa kumsema Samia na Serikali yake ni mtu wa kundi la Makonda?
Mnazidi kujionesha ni kwa namna gani kelele zenu zilikuwa kwa maslahi binafsi na vyeo tu ila sio kwa maslahi ya Taifa.

Uzi wako unadhihirisha kuwa nyie watu ni watu wa siasa za chuki, visasi na roho mbaya na hamna lolote la maana.
 
Kinachonivuta akili ni maana ya teuzi hizi zinazofanywa wakati huu, tena kwa watu wa ajabu ajabu kabisa. Hizi ni alama zinazoonyesha hali ilivyo huko zinakotoka teuzi za namna hii. Inaonyesha kuwa hali ya kutapatapa.
 
Yajayo yanafurahisha!!!
 
Kinachonivuta akili ni maana ya teuzi hizi zinazofanywa wakati huu, tena kwa watu wa ajabu ajabu kabisa. Hizi ni alama zinazoonyesha hali ilivyo huko zinakotoka teuzi za namna hii. Inaonyesha kuwa hali ya kutapatapa.
Pole pole aliwaita "WAHUNI" sasa tumewajua na bado yajayo yanafurahisha mwenda zake aliamza hivi hivi... Tehe tehe tehe....
 
Aisee!
 
Mgonjwa wewe, huna ndugu wa kukusaidia?

You, mind crippled, unfortunately you have no chance to reverse the poor functioning of your brain. Accept your poor state and never compare yourself to those with sound mind.
 
Bosslady kichwani mtupu elimu yake hata kuongoza familia haiwezi
 
Vyeti feki si mlisha rudishwa kazini?
Wenye vyeti fake, mbona mnafahamika kwa reasoning yenu? Ina maana huwajui wenzako mpaka uparamie usiowajua? Mmojawapo anayefahamika wazi ni Daud Bashite ambaye kwa kutumia cheti fake alilazimika kutumia jina la mtu mwingine. Ninyi wenye vyeti fake bila shaka mpo wengi, mngeweza hata kuunda jumuia yenu, na ikawa na nguvu kwa sababu ya idadi yenu kubwa.
 
Kwa makasiriko haya unaweza ukaishia kuugua. Inaonekana bado hujakomaa kisiasa.
Kukomaa kisiasa ni kukubali wabakaji ni watu wema? Au ubakaji nao ni sehemu ya siasa? Kama ubakaji ni sehemu ya siasa, sitaki kabisa kuwa mwanasiasa wala kuwa karibu na mwanasiasa.

Sina haja ya kuupokea au kuukubali uovu wa aina yoyote kwa malipo ya kitu chochote, iwe cheo, uanasiasa, utajiri au kingine chochote.
 
Kinachonivuta akili ni maana ya teuzi hizi zinazofanywa wakati huu, tena kwa watu wa ajabu ajabu kabisa. Hizi ni alama zinazoonyesha hali ilivyo huko zinakotoka teuzi za namna hii. Inaonyesha kuwa hali ya kutapatapa.
Hakika. Mtu unapoamua kushikamana na jambazi, hata kama hukuwa jambazi, ni dhihirisho kuwa ama huwezi kupambana na majambazi au wewe mwenyewe kiasili ni jambazi.
 
Endelea kuumia ilihali makonda anachapa kazi,kama huwezi shindana nao ,ungana nao
 
Kwa minajili yaanguko lazima theory (dhana) ya sikio la kufa iwe dhahiri.

Waliompiga gubu kenge kuhusu masikio yake walikuwa na IQ kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…