Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wito : JF isiruhusu VichaaLile Jizi lenu linalolilia Ikulu toka enzi za 92 mpaka leo limewaweka mfukoni limekula hela za ruzuku likajengea watoto wake apartments Dubai hela za nyumbu wajinga limeiba hela za wanachama kwa mgongo wa operations na kuwachangisha nyumbu na pia haitoshi limedhulumu hela za mirathi za marehemu baba yake limeua na kutesa watu wengi libakie kwenye uenyekiti na limeteka Ben saanane na kumuua Wangwe acheni ushenzi nyie misukule wa makengeze madalali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wapoloooo wapolooooooo wahuniiiiiii oooohhhhh wahuniiiiiii....... Γ2 ( just singing)
Minajili ni sababu au kusudio.Mkuu Msanii unaniangusha. Minajili ndio kitu gani kwenye kiswahili?!
Huyo kweli kichaa. Uthibitisho ni post zake kabla ya kuibuka kwa makonda, na u-turn baada ya makonda kuteuliwa.Wito : JF isiruhusu Vichaa
Ninyi uvccm weupe sana vichwani mnachokiweza ni mausi tu. Kwahiyo mkimpuuza Kinana kwasab ya huyu makalio makubwa mtakiua chama chenu.Lile Jizi lenu linalolilia Ikulu toka enzi za 92 mpaka leo limewaweka mfukoni limekula hela za ruzuku likajengea watoto wake apartments Dubai hela za nyumbu wajinga limeiba hela za wanachama kwa mgongo wa operations na kuwachangisha nyumbu na pia haitoshi limedhulumu hela za mirathi za marehemu baba yake limeua na kutesa watu wengi libakie kwenye uenyekiti na limeteka Ben saanane na kumuua Wangwe acheni ushenzi nyie misukule wa makengeze madalali
Gilbert Andendekisye "Massawe"Sacoss ya Wachaga ile mkuu
Hakuna chama pale
Naona shughuli pevu niliyokuwa nikiiombea na kuisubiri imeshaanza rasmi !!Niliandika humu hata chekacheka FC hakuamini macho yake!
Sasa Mzee wa beautiful never dai hajui kinachoendelea wakati wowote tunapata.
Huyu eti amepanic hataki kujihusisha na CHAMA tena, Sasa athubutu hiyo mipango yake ya kijinga aone kitakachomkuta...
Boss lady ashawachoka na uzandiki wenu na tutamlinda Kwa Kila mbinu...
Ally Happi jiandae mdogo wangu!
Makonda chapakazi kijana wetu una baraka zetu... r.i.p Membe hukutambua wakati uliofaa!
Chalamila uliongea pale Bukoba Kuwa waziri fulani anatafta mkwanja Ili arithi mikoba, tunammomitor vizuri usiwe na tabu!
Tuko pamoja Mkuu! Wanataka kuzingua hawa..Naona shughuli pevu niliyokuwa nikiiombea na kuisubiri imeshaanza rasmi !!
Mungu ni mwema π π ππ
Ngoja Tusubiri tuone πππ
Mama piga kazi twende !
Locuta causa finita !
ππHebu tafsiri hiyo locuta causa fitina ili mama naye akuelewe umesema nn?lugha za watu hizo,wanazielewa wasomi tuπ€£π€£Naona shughuli pevu niliyokuwa nikiiombea na kuisubiri imeshaanza rasmi !!
Mungu ni mwema π π ππ
Ngoja Tusubiri tuone πππ
Mama piga kazi twende !
Locuta causa finita !
Yeye sio msomi?!ππHebu tafsiri hiyo locuta causa fitina ili mama naye akuelewe umesema nn?lugha za watu hizo,wanazielewa wasomi tuπ€£π€£
Kwani na huyo nyerere ni nani hasa kwenye hii nchi wapo watu wa maana sio huyo uliemtaja mzee wa kuchukua sifa kwa mambo waliofanya wengineIfahamike, huyo Makamu si Hayati baba wa Taifa kwamba eti aendelee kubembelezwa kama mtoto. Yeye si lolote kwamba Chama na Taifa ki/litapungukiwa na kitu pasipo yeye.
Nafuu na jambo jema ni kuwa hata boss wake ameamua kumfungia vioo na hataki tena kujishughulisha naye kwa namna yeyote ile. Uamuzi ni wake!
Nanyi ambao kutwa na kila uchwao mnamshauri Sponsor eti aone namna bora ya kuzungumza na huyo zilipendwa wenu, komeni! Hivi, hamjiulizi kwa nini boss lady anawapiga dana dana kwalo?! Jibu ni moja, ameshaamua kama mbwai na iwe.
Ya safari hii, dogo kawaweza kweli kweli na mbaya zaidi hamkutarajia hata chaguo lake!
Habembelezwi mtu! Na chaguo la boss lady ndilo hilo. Sasa mpende, ama, lau msipende, uamuzi wenu wa ima mu resign ama muendelee kuwamo kundini huku mkiugulia kwa uchungu maamuzi ya Sponsor.
Heri mimi sijasema make tembo sasa ni wengi na wanasumbua raiaHalafu angeachia vijana yeye akaenda kuwinda tembo mbona ndio fani yake?
Makonda go on una baraka zangu zote!tulimis nyomi Barabarani zileee za jpm!!
Good news chadema tushaitia Mfukoni. View attachment 2814818
Kwani na huyo nyerere ni nani hasa kwenye hii nchi wapo watu wa maana sio huyo uliemtaja mzee wa kuchukua sifa kwa mambo waliofanya wengine
Hahaha tuliza ball acha hisia kaliAchana na Nyerere, jadili mada. Mmezaliwa juzi mnajifanya wajuaji.
Hawezi hua anaangalia na watu wa kuwapigia, ila ingekua kipindi cha jembe angeweza.Siku dogo akimpigia nape sim siju itskuwaje nasubiri tu