Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari
Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link
Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu
Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga hivi
Mbona huko nyuma amkutuletea dawa za hiv mpaka kinondon yetu ikajaaaaa....
Mbaya soma comments jaman msinunue jaman wezi hao hizo dawa n majani hayana msaada wowote kha
...anawaonaaa lakin