BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Aliyekudanganya kununua ndege kwa trillions 2 zikaishia kupigwa vumbi na jua huku zikiingiza hasara ya trillions kwa Taifa ni nani? 😳😳😳
Kama Akili yako ni nzuri Huwezi kubeza Mafanikio hayo. Jiulize kwa nini Huko nyuma haikuwezekana? Mpaka Awamu ya Magufuli?
Tafuteni Kazi za kufanya. Hadithi za Halimbaya ya maisha ya watanzania zipotu kwa wale wavivu wa kufikiri na waliokua wanategemea ujanja ujanja uliokuwepo.
Kila Mbuzi Atakula kwa Urefu wa Kamba YAKE. [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]