Vina nisaidia nini Mimi angenipa ajira tokea 2015 angalau kavukavu hivi hivi miaka 5 nasota mta kichinjio kina muhusu na mpa kura TLisu ni yeye 2020Wajinga hawataona Impact ya hii miradi inayowekezwa na Serikali ya Chama cha Mapinduzi.
Ila nikwambie. Miradi hii PESA zitakazopatikana zitakwenda moja kwa moja kuhudumia wananchi.
Huwezi kusema ndege hainisaidii wakati kuna Utalii unaotegemea Usafiri wa Anga. Hao wageni watakuja na Bodaboda? Utapataje PESA za kigeni kama huwekezi?
Huwezi kubeza SGR kwamba huta panda Tren hivyo haina Msaada kwako una sahau kwamba Kuna wakulima wanategema usafirishaji wa mazao na mizigo wakipata usafiri wa uhakika na nafuu utapunguza Mfumuko wa bei na kusaidia kupunguza Gharama za maisha.
Huwezi kubeza Mradi wa Bwawa la Nyerere kwamba Hauna tija wakati Viwanda vina hitaji Umeme wa uhakika na wagharama nafuu ili kuongeza uzalishaji na Ajira.
Ndio maana nasema wafuasi wengi wa upinzani Akili zenu ni ndogo sana. Mnawaza kuwa na PESA Mfukoni kuliko kuangalia Vitu vya msingi ambavyo ndio vitakua mkombozi wa watu wengi wa taifa hili.
Hivi umeshajiuliza ukawa na fedha mfukoni Alafu hakuna Miundo mbinu mizuri ikapelekea Mfumuko mkubwa wa bei hivi hiyo hela itakusaidia nini?
Umeshajiuliza Congo ya Mobutu ilikua unaenda kununua mkate na sanduku la Pesa Kutokana na serikali kutokuwekeza kwenye Miundombinu ila iliruhusu watu wawe na PESA Ambazo mwisho wa siku hazikuwasaidia wakamtoa madarakani.
Hivyo wanadamu hawana jema. Hiyo Ndio nature yao. Mimi naipongeza CCM kwa misimamo YAKE chini ya Rais Magufuli. Nchi haiendeshwi kwa kusikiliza watu nchi inaendeshwa kwa kufuata vipaumbele vya msingi na sio kuwanufaisha wachache Bali kwa manufaa ya wengi.
huna kazi za kufanya ndo maana unaandika pumba nyingi hiviWajinga hawataona Impact ya hii miradi inayowekezwa na Serikali ya Chama cha Mapinduzi.
Ila nikwambie. Miradi hii PESA zitakazopatikana zitakwenda moja kwa moja kuhudumia wananchi.
Huwezi kusema ndege hainisaidii wakati kuna Utalii unaotegemea Usafiri wa Anga. Hao wageni watakuja na Bodaboda? Utapataje PESA za kigeni kama huwekezi?
Huwezi kubeza SGR kwamba huta panda Tren hivyo haina Msaada kwako una sahau kwamba Kuna wakulima wanategema usafirishaji wa mazao na mizigo wakipata usafiri wa uhakika na nafuu utapunguza Mfumuko wa bei na kusaidia kupunguza Gharama za maisha.
Huwezi kubeza Mradi wa Bwawa la Nyerere kwamba Hauna tija wakati Viwanda vina hitaji Umeme wa uhakika na wagharama nafuu ili kuongeza uzalishaji na Ajira.
Ndio maana nasema wafuasi wengi wa upinzani Akili zenu ni ndogo sana. Mnawaza kuwa na PESA Mfukoni kuliko kuangalia Vitu vya msingi ambavyo ndio vitakua mkombozi wa watu wengi wa taifa hili.
Hivi umeshajiuliza ukawa na fedha mfukoni Alafu hakuna Miundo mbinu mizuri ikapelekea Mfumuko mkubwa wa bei hivi hiyo hela itakusaidia nini?
Umeshajiuliza Congo ya Mobutu ilikua unaenda kununua mkate na sanduku la Pesa Kutokana na serikali kutokuwekeza kwenye Miundombinu ila iliruhusu watu wawe na PESA Ambazo mwisho wa siku hazikuwasaidia wakamtoa madarakani.
Hivyo wanadamu hawana jema. Hiyo Ndio nature yao. Mimi naipongeza CCM kwa misimamo YAKE chini ya Rais Magufuli. Nchi haiendeshwi kwa kusikiliza watu nchi inaendeshwa kwa kufuata vipaumbele vya msingi na sio kuwanufaisha wachache Bali kwa manufaa ya wengi.
Sasa hawa mapimbi ilani yao Ina kurasa elfu sita sasa mbona hawazinadi? Kwa kweli ujanja mwingi mbele giza , leo Ni siku ya 11 ya kampeni wamekata pumzi vibaya, angalia mbinu wazotumia, kusomba watu, wanachuo, wanafunzi , watoto, kukokota wazee wakongwe kina mama Maria Nyerere hizi Ni mbinu za mtu mwenye akili sawasawa kweli? Kutaka kupewa kifimbo cha baba wa taifa kwa nguvu kweli?Yaani kila mahali wimbo wao ndege, SGR na STIGLERS kila mahali kwenye mabrasha yao wanatembea na hayo mambo 3. Yaani huwezi kumkuta mtu anaimba nje ya hayo. Hivi hayo mmefanya kwa pesa zenu?
Hawa jamaa hawana jipya hadi wanatia huruma. Haya mambo matatu utafikiri ndio ilani yao. Hawana mapya wimbo mmoja kila siku. Huu wimbo wenu umechukua tafuteni mwingine.
Hivi hamna watu wabunifu CCM?