Yaani Joshua na Clemence wamefariki ila ni kama hakuna kilichotokea. Are we Hamas sympathisers?

Kumbe kifo kinauma ? usikute mtua anayeumia watu wake wawili kufariki anafurahia mauaji ya maelfu ya Wapalestina wasio na hatia wakiwemo watoto ,wazee na wanawake ,kwa case hii mfano ni Maghayo The Mongolian Savage and his barbaric Ghayo's gang
Hao mipalestina walijitakia yenyewe. Mbona wewe haumii maelfu ya waislam wenzako weusi wanaochinjwa na waarabu Darfur kila siku?
 
Bora Najaf na Karbala kuliko mecca.

adriz
 
Rubbish and nonsense
 
Tuondolee uharo hapa
 
watanzania wameuawa na hamas ndio mada
Hilo sio tatizo ,bali tatizo lipo kwenu mlio jaa Unafiki zaidi ya shetani ,ambao mnajifanya kuumizwa na vifo vya watz wawili alafu wakati huo mnashangilia vifo vya maelfu wa watu wanao kufa bila sababu huko gaza.
 
Hao mipalestina walijitakia yenyewe. Mbona wewe haumii maelfu ya waislam wenzako weusi wanaochinjwa na waarabu Darfur kila siku?
Basi na wao walijitakia kwa kwenda mwenye nchi iliyo jaa laana.
 
Sisi tufe alafu ww uchomekwe gunzi kwenye shimo lako la nyuma lizingushwe zungushwe maana hiyo ndo kitu unapenda.

Mkuu wapuuzi kama hao unawahifadhi kabatini kama nguo tu wana nini?
 
jamaa walivogundua pia Wana raia wa mataifa mengine yasiyo adui wangetafuta namna ya kuwaachia ila kwakua wao ni magaidi and they are born to terrorize bas ndio ivyo wanaua Hadi wamasai

Kwa hiyo wangegundua je kuwa hao wa mataifa mengine ni wa mataifa mengine na si mapandikizi?

Kumbuka wamekutwa kwenye maeneo ya wizi au si kuwa mshikwa na ngozi ndiye mla nyama?
 
Serikali inaendekeza udini Sana, badla ya Maisha ya watanzania

RIP vijana wetu,
 
Remember our president is Muslim,je umewahi kufikiria magu angekuwepo maana yeye ndo alifungua ubalozi wa Israel apa tz

Unakumbuka pia Nyerere mkristo ndiye aliyewafungia mlango madhwalimu hao na kuweka ubalozi wa Palestina Hapa?

Hili ni suala la haki zaidi kuliko dini ba ndiyo maana si Kila mtu bIla kujali dini anamwona hamas kama gaidi:

 
Ange kuwa kuna mtoto wa kiongozi katekwa ungeona hekaheka za serikali kumuuokoa
 
Unakumbuka pia Nyerere mkristo ndiye aliyewafungia mlango madhwalimu hao na kuweka ubalozi wa Palestina Hapa?

Hili ni suala la haki zaidi kuliko dini ba ndiyo maana si Kila mtu bIla kujali dini anamwona hamas kama gaidi:

View attachment 2842814
Nyerere alifanya vile kwakuwa alikuwa socialism na alikuwa anaonyesha kupinga chochote mabepari wanachokidapot, Leo hii Putin anamarafiki kibao waarabu anaonyesha upinzan flan lakin siyo kutoka moyon anapritend tuh.huwez ukazaliwa mkristo ,ukakulia ukristo still ukampinga myaud utakuwa unashida ya akili
 

1. Nyerere hakumpinga mwisraeli kwa sababu ya u socialist wake.

2. Nyerere alimpinga mwisraeli kwa sababu ya kupenda haki na usawa.

3. Hakuna mpenda haki na usawa atamwunga mwisraeli au yeyote kwenye la hIvi!

4. Putin anashindwa kukemea vilivyo jwa sababu ana mikono michafu Ukraine.

5. Huwezi kumwunga mkono Ukraine na Israel wakati mmoja kama si mwenda wazimu!

6. Putin ni mvamizi Ukraine kama Israel, Palestina.

7. Kwenye mazingira hayo Putin dhidi ya nani kuhusu uvamizi?
 
Kama angekuwa anapenda haki na usawa angeachana na ukristo. Maana huwezi ukakuta hicho kitu kwenye biblia maana mungu wetu ni WA haki lakin siyo usawa,kitu chochote chenye usawa ndani yake ni cha kishetani (gender equality nk)mungu wetu ni WA kitu kinaitwa harmony,mdoga na mkubwa,maskin na tajir mpole na mkorofi wote wakae pamoja kwa upendo na kila mmoja aridhike
 

1. Alipenda haki na usawa hakuachana na ukristo na hatua za kumfanya mwenye heri zinasonga.

2. Kama yeye Mandela na Afrika Kusini inawatambua wapalestina na jitihada zao kama wapigania uhuru.

3. Mengine ni hadithi ila Palestina yuko sahihi kupambana na mwizi wake kama anavyoona yeye inafaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…