1. Miye si mpangaji achilia mbali magomeni, wala usidhani kila mtu ni mpangaji kama wewe.
2. Huyo mnayekaa naye mkipanga Magomeni asiyekuwa na marinda kama wewe itakuwa basha wenu mmoja; mnajuana!
3. Kwamba kufa ni kufa kwanini Gaza?
4. Kumbe hata hujui tofauti?
5. Kumbe nini kimekuleta basi kwenye uzi huu?
6. Kumbe unafuata nini kwenye maoni yangu yoyote huru ninayoyatoa kwa mujibu wa kanuni za JF?
7. Wapi umeona naandika kuhusu dini achilia mbali kushabikia dini, kereng'ende wewe?
8. Huko Kwa Bakhresa mnakobishania dini unakujua wewe; kwa vile kunakufaa endelea kukomaa nako.
9. Huna hoja, huna unalojua, huna reference yoyote, una nini? Dalili kuwa pia elimu duni.
Bure kabisa!
(Mkuu
Mbaga Jr, kuna gombe hapa si haba kuyafahamu majamaa ya hIvi siku moja moja).