Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

Yaani Messi ameikataa Barca na kwenda kujiunga na timu inayoshuka daraja, ni ya mwisho kwenye msimamo

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani


Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16
Screenshot_20230608-081622.png
 
Wanasema amechagua Miami sababu

1. Ana nyumba huko na amezoea kwenda huko Mara kadhaa wakati wa mapumziko

2. Ameahidiwa umiliki kuwa mmojawapo wa mwenye hisa mkubwa Kwenye timu hapo baadae Kama ilivyokuwa kwa Beckham la galaxy

3. Anaelewana na Beckham kwa muda mrefu


Amekataa dola milioni 400 za waarabu
 
Tatizo la Watz ni kujikuta tunajua na kufanya kila kitu! Mtu huyo huyo mchambuzi wa mpira, Daktari, Fundi Mchundo, makenika, mkulima, mwanasiasa n.k . Maybe ni kutokana na umaskini wetu.
 
Back
Top Bottom