Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Athari za NBC PL hiziKama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani
Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16View attachment 2649670
AtaipandishaKama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani
Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16View attachment 2649670
Itapanda juu,we subiri uone moto wa MessiKilichompeleka huko ukiacha mshara ni offer ya kuwa mmiliki mwenza wa hyo timu
AahhahaaaaNani alikudanganya ligi ya marekani kuna kushuka daraja... Tatizo lenu mnakurupuka Sana Jifunze kwanza soka ndo uje kuandika undwanzi
Acha niwafollow hao Miami kule TwitterNani aliyekwambia MLS wanashuka daraja??
Angeenda huko ingeonekana anamuiga Cr 7Bora amekataa fedha chafu za uarabuni. Mwarabu anakuchukua sio lengo la mpira Bali kuitangaza dini yake na kutengeneza propaganda dhidi ya Ukristu. Wakifika huko wanawalazimisha kufuata Mila zao ikiwepo kuvaa makanzu, watawatumia kwenye matangazo mbalimbali na kutengeneza propaganda kuwa wameslimu. Ronaldo anaonja joto ya jiwe huko
AahaaaaaWakuu mkaushieni tu kashanyooka,mwamba kakurupuka mpaka aibu nimeona mimi!
Angeenda huko ingeonekana anamuiga Cr 7
Una uhakika kua ligi ya USA team hua zinashuka daraja?
USA hakuna kushuka daraja hata ukiwa wa mwisho,msiwe mnarukia vitu msivyovijua na kukimbilia kuanzisha thd JF.
Katumia uwanja wa kujidai,mmilki nusu wa timu,timu itapanda juu,kama haitoshi ujio ushapandisha followers wa Inter Miami mitandaoniMessi katumia akili sana,
Wangemuharibia CVMosi, Messi kashashinda kila kitu, hivyo kurudi kwake kama mvhezaji Barca isingekuwa challenge mpya...
Pili, experience yake ya mwisho na Barca haikuwa nzuri na hiyo imempelekea kuwatosa kirahisi...
Tatu, namna Barca wanavyocheza kwa sasa na performance yao, ingekuwa ni miyeyusho tu na pengine kufuta mazuri yote aliyokwisha yafanya hapo Barca...