Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Fedha sio shidaAndunje hajakataa ni issue za financial ndio zimekua kikwazo
Kakataa ofa za saudia kukwepa kuonekana anamcopy cr7
Usa hakunaga kushuka daraja huko kama sijakosea
Basi Itakuwa inadhuka shimoniUna uhakika kua ligi ya USA team hua zinashuka daraja?
USA hakuna kushuka daraja hata ukiwa wa mwisho,msiwe mnarukia vitu msivyovijua na kukimbilia kuanzisha thd JF.
Nani aliyekwambia MLS wanashuka daraja??Kama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani
Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16View attachment 2649670
Tuelezee basHata ligi ya marekani hujui inaendeshajwe ..achana na mpira kashabikie rede .
Hata rede huwa nashabikia, ndipo nilipokutana na mamaako wewe ukazaliwa... kamuulizeHata ligi ya marekani hujui inaendeshajwe ..achana na mpira kashabikie rede .
Hiyo kushuhuka daraja nimeandika tu ili kutega vichwa panzi kama wewe kuja kutoa povuNani alikudanganya ligi ya marekani kuna kushuka daraja... Tatizo lenu mnakurupuka Sana Jifunze kwanza soka ndo uje kuandika undwanzi
Amejiunga na timu ya USA kwasababu ya kuwa karibu na mali na miradi yake mikubwa ambayo amewekeza huko. Mtoa mada uwe na akili sometimesKama mnavyojua Messi anajiunga na cub ya Inter Miami ya Marekani
Kwenye msimamo wa ligi hiyo club hiyo ni ya 16 kati ya timu 16View attachment 2649670