Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea???
Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake.
Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa??
Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi wajitafakari sana.
Hawa Watoto wanaharibika sana.
Utakuta mwl hana uwezo wowote wa KKK(kusoma, Kuandika na kuhesabu) mtoto hapati skill yoyote