LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Jibu ni moja tu pelekeni watoto wenu kayumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu ni moja tu pelekeni watoto wenu kayumba
Nakazia NakaziaHapo ni kumpeleka dumu Fagio
Vitu vya ajabu sana hata shule za serikali mzazi unawajibu wa kufatilia mwenendo wa mtoto wako. Shule za private tunazilaumu bure kwa makosa yetu ya kudhania tumelipa basi haina haja ya kujua maendeleo ya mtoto sababu ada tumemaliza. Private schools zinasaidia sana mtoto ikiwa na wewe mzazi upo karibu na mtoto na walimu. Sasa hata mwalimu wa darasa humjui then unakuja lalamika kupewa jukumu lako. Ungekuwa makini toka mwanzo wala barua isingekusumbua maana ungekuwa ulishajua shida ya mwanao siku nyingi na kufanyia kazi.Haijalishi mtoto awe kayumba au ya binafsi kama mzazi unajukumu la kila siku kukagua kazi ya mtoto na kuongea naye ujue anashida wapi na nini, haya ndiyo yanayokuja leta shida mbele mtoto kutokuwa karibu na mzazi wake unashindwa fahamu changamoto zake. Utajuaje kama shule mwalimu kampa adhabu kuzidi umri, au darasani haelewi kama hujajenga mahusiano na mwalimu na mwanao.Wachangiaji wengi wana chuki na private school kiasi cha kuacha kutumia akili
Yaani kuna watu wa ajabu,mtoto wako unakumbushwa wajibu unalalama badala ya kushukuruSasa hapo kinachokushangaza nini?
Mzazi ni lazima ushiriki katika malezi na taaluma kwa mwanao siyo kila kitu mwl ahusike pekee yake, shule siyo kisiwa.
Mimi nalipa ada ya 2.7m kwa dogo wangu grade 3. Sina baya na shule. Namsubiri kwa hamu likizo nikague kama hiyo average ya 100% ni ya kweli au ya kukariri. Hao wanaotiana ujinga waacheVitu vya ajabu sana hata shule za serikali mzazi unawajibu wa kufatilia mwenendo wa mtoto wako. Shule za private tunazilaumu bure kwa makosa yetu ya kudhania tumelipa basi haina haja ya kujua maendeleo ya mtoto sababu ada tumemaliza. Private schools zinasaidia sana mtoto ikiwa na wewe mzazi upo karibu na mtoto na walimu. Sasa hata mwalimu wa darasa humjui then unakuja lalamika kupewa jukumu lako. Ungekuwa makini toka mwanzo wala barua isingekusumbua maana ungekuwa ulishajua shida ya mwanao siku nyingi na kufanyia kazi.Haijalishi mtoto awe kayumba au ya binafsi kama mzazi unajukumu la kila siku kukagua kazi ya mtoto na kuongea naye ujue anashida wapi na nini, haya ndiyo yanayokuja leta shida mbele mtoto kutokuwa karibu na mzazi wake unashindwa fahamu changamoto zake. Utajuaje kama shule mwalimu kampa adhabu kuzidi umri, au darasani haelewi kama hujajenga mahusiano na mwalimu na mwanao.
Hongera wewe unalitambua jukumu lako na nina amini hata mwanao atakuwa yupo vizuri sababu ukaguzi unasaidiaMimi nalipa ada ya 2.7m kwa dogo wangu grade 3. Sina baya na shule. Namsubiri kwa hamu likizo nikague kama hiyo average ya 100% ni ya kweli au ya kukariri. Hao wanaotiana ujinga waache
Mpaka hapa bado umeshindwa kunielewa, na ndiyo maana hata hayo maelekezo hujaelewa. Kazi unayo.Kwa hiyo ni rereview mambo ya mwaka mzima in a day??
Nimesoma aliposema mtoto atumie brain kwamba haoni faida ya revision kama kesho ni mtihani nimechoka kabisa. Sasa kwa akili ndogo tu kama mwanao yupo vizuri kichwani kama unavyodai haukuwa na haja ya kuweka lalamiko hapa mwache alale kesho akafanye mtihani acha wa kwetu tunaopambana nao kufanya marudio.Mpaka hapa bado umeshindwa kunielewa, na ndiyo maana hata hayo maelekezo hujaelewa. Kazi unayo.
Na wewe upunguze kula michipsi kuku. Si unaona unavutwa mbele na nyumaSi mnajifanya mnazo! Acha mpigwe! Shule za umma hamzitaki wakati zina walimu wabobezi kitaaluma na wito!
Mimi mzazi hata darasa la pili sikufika, nitawezaje kumsaidia mwanangu marevision ya darasa la saba?Nimesoma hii barua nimerudia nione tatizo nini wala sijaweza ona shida ipo wapi. Tatizo ni sisi wenyewe wazazi wala tusitake laumu shule. Mzazi mwenye kujielewa kwanza anakuwa karibu na mwalimu wa mwanae na pia akirudi lazima akae na mtoto wafanye wote "homework". Sasa unalipa ada na kuwaachia walimu kila kitu na unaona sawa kabisa. Kufanya marudio na mtoto utagundua maendeleo yake mapema na kufanya jitihada ili aweze kuwa sawa. Sasa unalipa hela hujui mwanao anaelewa au laa kisha unakuja lalama kukumbushwa wajibu . Tusipende kulaumu kwa kukwepa majukumu yetu kama wazazi. Walimu wana nafasi yao na wazazi tuna nafasi yetu.
uko sahihi kabisa, lazima mzazi awajibike kwa kumsaidia mtoto wake jioni ili ajenge uzoefu wa kusoma na pia kumsaidia kwenye maeneo ambayo hakuelewa vizuri. Pia ukiona kuna eneo hakuelewa vizuri mzazi anakwenda kwa mwalimu kumpa mrejesho.Nimesoma hii barua nimerudia nione tatizo nini wala sijaweza ona shida ipo wapi. Tatizo ni sisi wenyewe wazazi wala tusitake laumu shule. Mzazi mwenye kujielewa kwanza anakuwa karibu na mwalimu wa mwanae na pia akirudi lazima akae na mtoto wafanye wote "homework". Sasa unalipa ada na kuwaachia walimu kila kitu na unaona sawa kabisa. Kufanya marudio na mtoto utagundua maendeleo yake mapema na kufanya jitihada ili aweze kuwa sawa. Sasa unalipa hela hujui mwanao anaelewa au laa kisha unakuja lalama kukumbushwa wajibu . Tusipende kulaumu kwa kukwepa majukumu yetu kama wazazi. Walimu wana nafasi yao na wazazi tuna nafasi yetu.
Huna loloteVitu vya ajabu sana hata shule za serikali mzazi unawajibu wa kufatilia mwenendo wa mtoto wako. Shule za private tunazilaumu bure kwa makosa yetu ya kudhania tumelipa basi haina haja ya kujua maendeleo ya mtoto sababu ada tumemaliza. Private schools zinasaidia sana mtoto ikiwa na wewe mzazi upo karibu na mtoto na walimu. Sasa hata mwalimu wa darasa humjui then unakuja lalamika kupewa jukumu lako. Ungekuwa makini toka mwanzo wala barua isingekusumbua maana ungekuwa ulishajua shida ya mwanao siku nyingi na kufanyia kazi.Haijalishi mtoto awe kayumba au ya binafsi kama mzazi unajukumu la kila siku kukagua kazi ya mtoto na kuongea naye ujue anashida wapi na nini, haya ndiyo yanayokuja leta shida mbele mtoto kutokuwa karibu na mzazi wake unashindwa fahamu changamoto zake. Utajuaje kama shule mwalimu kampa adhabu kuzidi umri, au darasani haelewi kama hujajenga mahusiano na mwalimu na mwanao.
Ndio wale wakifika chuo wanaanza upya ku hustle.Nimesoma aliposema mtoto atumie brain kwamba haoni faida ya revision kama kesho ni mtihani nimechoka kabisa. Sasa kwa akili ndogo tu kama mwanao yupo vizuri kichwani kama unavyodai haukuwa na haja ya kuweka lalamiko hapa mwache alale kesho akafanye mtihani acha wa kwetu tunaopambana nao kufanya marudio.
Hivi kufanya marudio ni kwamba mtoto hatumii akili? Hii ni kitu cha ajabu kabisa nimewahi kukisikia au jamaa anataka leta tu stori humu