Hapo ni kumpeleka dumu FagioNikisema hizi shule zinatuibia ninakosea???
View attachment 2825639
Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake.
Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa??
Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi wajitafakari sana.
View attachment 2825650View attachment 2825651
Hawa Watoto wanaharibika sana.
Utakuta mwl hana uwezo wowote wa KKK(kusoma, Kuandika na kuhesabu) mtoto hapati skill yoyote
Kwani za serikali hazina mitihani mkuu?Si mnajifanya mnazo! Acha mpigwe! Shule za umma hamzitaki wakati zina walimu wabobezi kitaaluma na wito!
Hicho ndio kimeniuma zaidi. Ninaamini kwamba mtoto hana mambo mengi kichwani anatakiwa atumie brain yake.Wajinga sana, yaani mzazi atafute pesa za ada halafu pia asaidie kufundisha
Mkuu, tuliza akili, halafu rudia tena kusoma hayo maelekezo uone kama kuna tatizo sana. Ni maelekezo ya kawaida ili uweze kufatilia maendeleo ya mtoto.Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea???
View attachment 2825639
Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake.
Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa??
Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi wajitafakari sana.
View attachment 2825650View attachment 2825651
Hawa Watoto wanaharibika sana.
Utakuta mwl hana uwezo wowote wa KKK(kusoma, Kuandika na kuhesabu) mtoto hapati skill yoyote
Kwa hiyo ni rereview mambo ya mwaka mzima in a day??Mkuu, tuliza akili, halafu rudia tena kusoma hayo maelekezo uone kama kuna tatizo sana. Ni maelekezo ya kawaida ili uweze kufatilia maendeleo ya mtoto.
Binafsi sioni tatizo, Ila pengine tunatofautiana mitizamo.
π π πFac.x it
Nimesoma hii barua nimerudia nione tatizo nini wala sijaweza ona shida ipo wapi. Tatizo ni sisi wenyewe wazazi wala tusitake laumu shule. Mzazi mwenye kujielewa kwanza anakuwa karibu na mwalimu wa mwanae na pia akirudi lazima akae na mtoto wafanye wote "homework". Sasa unalipa ada na kuwaachia walimu kila kitu na unaona sawa kabisa. Kufanya marudio na mtoto utagundua maendeleo yake mapema na kufanya jitihada ili aweze kuwa sawa. Sasa unalipa hela hujui mwanao anaelewa au laa kisha unakuja lalama kukumbushwa wajibu . Tusipende kulaumu kwa kukwepa majukumu yetu kama wazazi. Walimu wana nafasi yao na wazazi tuna nafasi yetu.Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea???