Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Tuko kwny vita ya kiuchumi mkuu.Nakumbuka kipindi cha nyuma tulikuwa tunasbare info kuhusu muandamo wa mwezi na wenzetu wa east africa! Sijui sikuhizi imekuwaje mpaka imekuwa hivi tena
Mkuu mwezi upo ila ni shauri ya hali ya mvua ndio umessbabisha kuto-onekana basi!!Nakumbuka kipindi cha nyuma tulikuwa tunasbare info kuhusu muandamo wa mwezi na wenzetu wa east africa! Sijui sikuhizi imekuwaje mpaka imekuwa hivi tena
Mufti wa Tanganyika na wa Zanzibar na wa Kenya wanapeana taarifa za mwezi wakati wa Idd. Sasa wote kwa pamoja wametamka mwezi haujaonekana. Sasa kuleta hoja kuwa Kenya kesho ni Idd kuna lengo gani? Kwa Uganda na Rwanda sidhani kama kuna mashirikiano hayo. Ila tuache kupotoshaBila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.
Sote tunajua mwezi ni mmoja dunia nzima, na jiografia ya Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania inashahabiana sana huku nchi zote hizo zikiwa na jirani. Sasa inakuwaje suala la muandamo wa mwezi likatofautiana hivyo?
Hapa kuna utapeli kwa 100%
AaahahajaaaHivi ni kwa nini hili la kuandama kwa mwezi huwa linaleta sarakasi kila mwaka.
Watu huwa wanautafuta mwezi hadi kwa daubini ila jspo mm si mwislam ila hadi uuone kwa machoBila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.
Sote tunajua mwezi ni mmoja dunia nzima, na jiografia ya Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania inashahabiana sana huku nchi zote hizo zikiwa na jirani. Sasa inakuwaje suala la muandamo wa mwezi likatofautiana hivyo?
Hapa kuna utapeli kwa 100%
Huyu Mufti wa hapa hakubaligi sikukuuNakumbuka kipindi cha nyuma tulikuwa tunasbare info kuhusu muandamo wa mwezi na wenzetu wa east africa! Sijui sikuhizi imekuwaje mpaka imekuwa hivi tena
Sasa huu uccm unakujaje ccm nao wamechoka kufungaBAKWATA WANA UNDUGU NA CCM
Ni dugu moyaBAKWATA WANA UNDUGU NA CCM
Miaka yote huwa wanaenda kinyume na waislam wengine duniani,nadhani kuna siri za matambiko kwenye hili.Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.
Sote tunajua mwezi ni mmoja dunia nzima, na jiografia ya Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania inashahabiana sana huku nchi zote hizo zikiwa na jirani. Sasa inakuwaje suala la muandamo wa mwezi likatofautiana hivyo?
Hapa kuna utapeli kwa 100%