Yaani mwaka 2023, mwezi uandame Rwanda, Kenya na Uganda halafu usiandame Tanzania! Hapa kuna utapeli kwa 100%

Ijumaa kama HII siku ya kazi hawataki watu wasiende kazini!!

Wanataka waendelee na kazi!ndio maana idd HAMNA leo!hawataki weekend ndefu!!
 
...Mimi nilishangaa kwamba SAA TATU Usiku Mufti Zanzibar kutangaza Redioni na kwenye TiiVii kuwa Mwezi haujaonekana Kwa Hiyo Ijumaa Watu wanaendeles na Mfungo na Sikukuu ni Jumamosi! SAA TATU USIKU !

Nikashangaa Sana! Walikuwa na haraka Gani ya kusema Mwezi haujaonekana hivyo Mfungo unaendelea?

SI Kuna Eid Mwaka wa Nyuma kidogo walitutangazia SAA NNE USIKU kuwa Mwezi umeonekana Huko Congo na Uarabuni...na Kesho ikawa Eid?

SI Kuna siku Miaka ya Nyuma Enzi za Baba wa Taifa kuonekana Mwezi kulitangazwa Alfajiri wakati Watu wanajiandaa kwenda Makazini...na ikawa Eid?

Hii ya kutangaza SAA TATU USIKU kuwa Mwezi haujaonekana na Kesho Ijumaa Watu waendelee kufunga, na maelezo mengine Kibao, ya Nini???
Walijuaje kwamba hawataletewa taarifa za kuonekana Mwezi SAA NNE USIKU ???
Kuna Neno !....[emoji35]
Lengo Lao wasisherekee pamoja na wale wa vikaptura vufupi na mizuzu myekundu
 
Mufti wa Tanganyika na wa Zanzibar na wa Kenya wanapeana taarifa za mwezi wakati wa Idd. Sasa wote kwa pamoja wametamka mwezi haujaonekana. Sasa kuleta hoja kuwa Kenya kesho ni Idd kuna lengo gani? Kwa Uganda na Rwanda sidhani kama kuna mashirikiano hayo. Ila tuache kupotosha
Usipotoshe watu mkuu,KENYA wametangaza Eid Ijumaa,Uganda pia.
 
Hapa kuna ukweli vinginevyo watoe sababu ya kwanini mwezi haujaandama Tanzania tu.
Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.

Sote tunajua mwezi ni mmoja dunia nzima, na jiografia ya Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania inashahabiana sana huku nchi zote hizo zikiwa na jirani. Sasa inakuwaje suala la muandamo wa mwezi likatofautiana hivyo?

Hapa kuna utapeli kwa 100%
 
Mufti wa Tanganyika na wa Zanzibar na wa Kenya wanapeana taarifa za mwezi wakati wa Idd. Sasa wote kwa pamoja wametamka mwezi haujaonekana. Sasa kuleta hoja kuwa Kenya kesho ni Idd kuna lengo gani? Kwa Uganda na Rwanda sidhani kama kuna mashirikiano hayo. Ila tuache kupotosha
Muft wa Uganda, Kenya na Rwanda wote wametangaza Eid ni ijumaaa
 
Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.

Sote tunajua mwezi ni mmoja dunia nzima, na jiografia ya Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania inashahabiana sana huku nchi zote hizo zikiwa na jirani. Sasa inakuwaje suala la muandamo wa mwezi likatofautiana hivyo?

Hapa kuna utapeli kwa 100%
Tanzania kila Kitu cha Mchongo hadi Mwezi
 
Tatizo ni uhaba wa elimu dunia kwa viongozi wa dini
 
inaonekana South Africa nako Eid ni leo, Saudia, UAE, Kenya, Uganda, Rwanda nk kote Eid ni leo... Tanzania Eid Kesho kwa niaba ya Mufti..

Kuna usemi unasema, yasiyowezekana duniani kote huwa Tanzania yanawezekana.

Wanazuoni Watanzania wanapaswa kulijadili hili kwa pamoja maana dhima hii iko kwao na kulitolea ufanunuzi pamoja na msimamo ili waislamu wa Tanzania wasiendelee kuyumba.
Mwezi wa Mchongo
 
Na naskia waliofunga halisi ni watu Saba tu. Wawili Unguja watatu Bara na wawili Pemba.

Anyway walitaka leo twende kazini.
 
Kinachonishangaza ni jinsi mnavyopiga kelele kwa siku moja tu, mkishakula hiyo Idd kelele zote zinaisha mpaka tar. 30 mwezi Ramadhan ya mwaka unaofuata. Kama hili jambo linawakera kwanini msikae meza moja na viongozi wenu mkalitafutia ufumbuzi?
 
Karne hii...pamoja na kukua kwa teknologia za aina zote bado watu wanashindwa kujua kama mwezi umeandama ama la...kwani wanatumia macho hayahaya au utaalamu mwingine.
Pili basi kama hawajauona, wanashindwa kuulizz kwa majirani ??
 
Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.

Sote tunajua mwezi ni mmoja dunia nzima, na jiografia ya Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania inashahabiana sana huku nchi zote hizo zikiwa na jirani. Sasa inakuwaje suala la muandamo wa mwezi likatofautiana hivyo?

Hapa kuna utapeli kwa 100%
Amka uende kazini. Mufti kashatimiza wajibu wake 😂😂
 
IMG-20230420-WA0024.jpg
 
...Mimi nilishangaa kwamba SAA TATU Usiku Mufti Zanzibar kutangaza Redioni na kwenye TiiVii kuwa Mwezi haujaonekana Kwa Hiyo Ijumaa Watu wanaendeles na Mfungo na Sikukuu ni Jumamosi! SAA TATU USIKU !

Nikashangaa Sana! Walikuwa na haraka Gani ya kusema Mwezi haujaonekana hivyo Mfungo unaendelea?

SI Kuna Eid Mwaka wa Nyuma kidogo walitutangazia SAA NNE USIKU kuwa Mwezi umeonekana Huko Congo na Uarabuni...na Kesho ikawa Eid?

SI Kuna siku Miaka ya Nyuma Enzi za Baba wa Taifa kuonekana Mwezi kulitangazwa Alfajiri wakati Watu wanajiandaa kwenda Makazini...na ikawa Eid?

Hii ya kutangaza SAA TATU USIKU kuwa Mwezi haujaonekana na Kesho Ijumaa Watu waendelee kufunga, na maelezo mengine Kibao, ya Nini???
Walijuaje kwamba hawataletewa taarifa za kuonekana Mwezi SAA NNE USIKU ???
Kuna Neno !....[emoji35]
Mtum s a w alitangaza IDD watu washaamka tayari wamefunga ,alipoambiwa TU mwenzi umeandama akamuambia bilali asome adhana watu waswali IDD
Bakwata ni loosers
 
Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.

Sote tunajua mwezi ni mmoja dunia nzima, na jiografia ya Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania inashahabiana sana huku nchi zote hizo zikiwa na jirani. Sasa inakuwaje suala la muandamo wa mwezi likatofautiana hivyo?

Hapa kuna utapeli kwa 100%
BAKWATA ni Division ya CCM inayojihusisha na siasa za Imani.
 
Back
Top Bottom