Yaani mwaka 2023, mwezi uandame Rwanda, Kenya na Uganda halafu usiandame Tanzania! Hapa kuna utapeli kwa 100%

Yaani mwaka 2023, mwezi uandame Rwanda, Kenya na Uganda halafu usiandame Tanzania! Hapa kuna utapeli kwa 100%

Nakumbuka kipindi cha nyuma tulikuwa tunasbare info kuhusu muandamo wa mwezi na wenzetu wa east africa! Sijui sikuhizi imekuwaje mpaka imekuwa hivi tena
Zuberi ili kulinda kiti chake kaamua kuwa CCM moja kwa moja. Na yeye anafuata maagizo ya chama kama mwanachama mtiifu.

BAKWATA hawana tofauti na UVCCM na UWT. Zuberi ni kama Mary Chatanda tu.
 
Waarabu wa Mwanalumango wamenuna Sana Leo,siwaoni kabisa kujibu swali hapa
 
Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.

Sote tunajua mwezi ni mmoja dunia nzima, na jiografia ya Rwanda, Kenya, Uganda na Tanzania inashahabiana sana huku nchi zote hizo zikiwa na jirani. Sasa inakuwaje suala la muandamo wa mwezi likatofautiana hivyo?

Hapa kuna utapeli kwa 100%
Labda Tanzania mwezi umezuliwa na mlima Kilimanjaro ndio maana haujaonekana 🤣 🤣
 
Ndugu zetu waislamu kwani hamuwezi mkaweka tarehe moja tu ili kuondoa huu mkanganyiko unaotokea kila mwaka? Hata kama maandiko yanaagiza kuangalia mwezi, hamuwezi mkakaa mkakubaliana wote? Maana sisi kwenye maandiko yetu tunasema yaliyokubalika hapa duaniani hata juu yamekubaliwa. Jus saying.
 
Watasema wakristo ndio tumefanyia njama 😂
 
Najua humu tupo wengi dini tofauti kuhusu mwezi tumeambiwa tufunge kwa kuona na kufugua kwa kuona kama kuna mawingu na hamkuuona basi timizeni 30 shida iko wapi kama wewe umefikisha 30 sari kula ambao Bado na mwezi hawajauona wache watimize 30; Shida Iko wapisipinde kutukana Watu sio malezi na tabia nzuri
 
Sidhani kama wana vifaa vya kuangalia mwezi, au wanatumia naked 👁‍🗨
 
Mtum s a w alitangaza IDD watu washaamka tayari wamefunga ,alipoambiwa TU mwenzi umeandama akamuambia bilali asome adhana watu waswali IDD
Bakwata ni loosers
Bakwata ni shia so hawawezi kuwa sawa na watu wasaudia
 
Kuna Iftar iliandaliwa pahala afu picha ikamuonyesha Na. 1, Na 3 na Kaimu Sheikh wa Mkoa - Walid! Nikajua tayari Sikukuu itakuwa Sabath
BAKWATA WANA UNDUGU NA CCM
 
Back
Top Bottom