Yaani mwaka 2023, mwezi uandame Rwanda, Kenya na Uganda halafu usiandame Tanzania! Hapa kuna utapeli kwa 100%

Kwan umelazimishwa usifungue leo ?? We kama unaona unataka kula eid leo ulage tu kwan si wapo waliokula leo?? Unalalamika nn sasa huku JF
 
Mbona mwez wakati wakuanza funga haunaga mushkeli ila linapokuja swala lampunga lazima mwez uzingue
 
Ukiuliza watakwambia Vita ya Ukraine imesababisha mwezi kuchelewa kuandama Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…