Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa za Maumivu za Panadol?

Nitarudi hapa baadae Saa 4 Kamili na mengineyo.
 
strategy nzuri
 
Kocha mkuu mwenyewe bwana mayanga ni simba damu hana tofauti mgunda alipokuwa coast union ulitegemea apangeje timu yake kama sio kuyaweka maduka ya wakina kotei? Walitaka point angalau waongeze ushawishi kwa mashabiki wao kuja uwanjani pamoja na ubingwa kuwa ushapeperuka
 
Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa za Maumivu za Panadol?

Nitarudi hapa baadae Saa 4 Kamili na mengineyo.
Maiti mbili zimekutana uwanjani leo, ila moja ina nafuu imepiga chafya.
 
Popoma alikuwa anaangalia kiwango cha dunia wakati Mamelodi Sundowns wanawaangamiza Waarabu akifanya comparison na timu yao kichomi ni mbingu na Ardhi.

Simba wakisikia wamepangwa na Mamelodi hii wasikubali kupeleka timu uwanjani.
 
Attachments

  • Screenshot_20230311-175240.png
    Screenshot_20230311-175240.png
    57.2 KB · Views: 1
Liverpool pia wamehongwa?Mpira hauko hivyo.Wiki iliyopita walishinda magoli 7 leo wamefungwa na timu iliyopo kwenye hatari ya kushuka daraja.Asiyeelewa football ndio atashangaa.Al Ahly alifika semifainali ya kombe la klabu bingwa ya dunia leo kapigwa 5 na Mamelodi.
 
Wachambuzi na wapenzi wa yanga wengi ni vilaza wa mpira.

Huyu mhuni aliyeleta uzi ni kati ya watanzania wasiofikiri hata kidogo. Saikolojia ya mtibwa tu pekee ilitosha kuwafunga hata goli 8.Ila kwa vile tuna aina ya watu wajinga wajinga wanaojua kuandika mitandaoni na kupata airtime kwenye media zetu,kusikia ujinga kama huu tutegemee tu
 
Back
Top Bottom