GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
strategy nzuriHovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa za Maumivu za Panadol?
Nitarudi hapa baadae Saa 4 Kamili na mengineyo.
Maiti mbili zimekutana uwanjani leo, ila moja ina nafuu imepiga chafya.Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa za Maumivu za Panadol?
Nitarudi hapa baadae Saa 4 Kamili na mengineyo.
Popoma alikuwa anaangalia kiwango cha dunia wakati Mamelodi Sundowns wanawaangamiza Waarabu akifanya comparison na timu yao kichomi ni mbingu na Ardhi.aiseee
Wachambuzi na wapenzi wa yanga wengi ni vilaza wa mpira.Liverpool pia wamehongwa?Mpira hauko hivyo.Wiki iliyopita walishinda magoli 7 leo wamefungwa na timu iliyopo kwenye hatari ya kushuka daraja.Asiyeelewa football ndio atashangaa.Al Ahly alifika semifainali ya kombe la klabu bingwa ya dunia leo kapigwa 5 na Mamelodi.