Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?


Leo simba walikuwa na kiwango kizuri, lakini pia mtibwa sio timu ngumu kwa simba mpaka tuonge...... km kuna ulazima wakuhonga tuonge basi kwa hao horoya...... mtibwa sio level zetu mkuu hakuna bahasha ndo uwezo wao ule
 
Tupo hapa na [emoji897][emoji897][emoji897] zetu tunakusubilia mkuu wetu purely talented and charismatic fella, mkuu wa malaika wote wa mbinguni na mfungua milango ya peponi GENTAMYCINE
Asante, Amina na Ashukuriwe zaidi Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake Kwangu na Kunizawadia Tunu ( Shani ) nyingi za Kimaisha na hasa hasa za Kiuwasilishaji wangu wa Kipekee wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums.
 
Leo simba walikuwa na kiwango kizuri, lakini pia mtibwa sio timu ngumu kwa simba mpaka tuonge...... km kuna ulazima wakuhonga tuonge basi kwa hao horoya...... mtibwa sio level zetu mkuu hakuna bahasha ndo uwezo wao ule
Huna unachokijua acha kunipotezea muda.
 
Waambie Mimi ni Habari nyingine JF.
@GENTAMYCINE mmoja ni sawa uchukue CNN + BBC + Al Jazeera + Sky News + Sky sports + Super Sports + ESPN + KTN + ITV + TBC + Radio Maria+ Tumaini FM + Nipashe+ Mwananchi + Mwanaspoti + Uwazi + Kiu + Michuzi blogs + Kigogo2004 + Mzee wa connection + Radio mbao.

Yaani genta ni lidude fulani kuuuuubwa sana na habari mbalimbali unazipata bila chengachenga.. salute sana kwake popoma
 
Thanks for the sincere Credits Chief.
 
Tafadhali Soma post yangu ndefu #30 nimetiririka na kuserereka mengi na kila Kitu pia.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Mimi nimejiunga hapa jf Mwaka 2015 October ila ni Kwa I'd nyingine sio hii, na ni baada ya kusoma Uzi wako ambao sio tu ulinistua, pia ulinifanya nikaamini humu Kuna watu Wana information zote za inchi hii. Kwaio wew ni king halisi wa jf
 
Daaah...!!Huku ni kupiga ramli.!!Maana hata ukiambiwa toa ushahidi hutoweza zaidi ya kukodoa macho kwa kuongea uongo..!!
 
Reactions: Tui
Naona popom@ unajisifia kwa account yako nyingine
 
Hakuna lolote hapa zaidi ya porojo. Unajificha nyuma ya keyboard kwa fake ID huku ukija na unsubstantiated claims.

Wewe unakuza majungu sana katika soka, na kama ungekuwa mkweli ungetaja majina ya wahusika na kiasi. Lakini ujidhihirishe kabisa wewe ni nani ili ukathibitishe pale utakapotakiwa kufanya hivyo. Nengekuwa moderator, ningefuta nyuzi za majungu kama hizi.
 
Reactions: Tui
Moderators wa JamiiForums ni Watu Waadilifu, Makini na Weledi Kiutendaji hivyo hawawezi Kuamriwa Upumbavu na Juha na Mwendawazimu wa mfano wako juu ya nini cha Kufanya.

Mnanichukia GENTAMYCINE lakini ndiyo nyie nyie Kutwa ( 24/7 ) mkiingia ( Log In ) hapa JamiiForums ni lazima msome Mada zangu na Posts zangu katika Mada za Watu Wengine.

Nikiwa nawadharau msiwe mnachukia.
 
Lakini wamekuweka kifungoni kwa muda mrefu. Na kwa trend hii ya kuchafua brands za watu, utarudishwa huko hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…