Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?

Huna Akili.
Wewe ni mara mia zaidi yangu. Kucha kutwa kubwabwaja majungu usiyoweza kuthibitisha. Unajua una inflict damage kiasi gani kwa club? Wewe utakuwa na psychological disorder bila shaka.
 
Reactions: Tui
Wewe ni mara mia zaidi yangu. Kucha kutwa kubwabwaja majungu usiyoweza kuthibitisha. Unajua una inflict damage kiasi gani kwa club? Wewe utakuwa na psychological disorder bila shaka.
Nut.
 
Asante, Amina na Ashukuriwe zaidi Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake Kwangu na Kunizawadia Tunu ( Shani ) nyingi za Kimaisha na hasa hasa za Kiuwasilishaji wangu wa Kipekee wa Masuala Mtambuka hapa JamiiForums.
Hapa ndipo unapodhihirisha kuwa you're psychologically not OK. Unashukuru kwa kusifiwa ujinga wako. Hovyo!
 
Reactions: Tui
Moderators pelekeni haya majungu jamii check.
 
Asa unategemea mtibwa wawe vizur na wakat wako msibani..
 
Ofisi za takukuru zilipo hupajui? Nenda kashtaki
 
Wewe utakuwร  mkweo ni Utopolo Ndio maana sometimes unachomoa screw...Simba sio GSM waliompa kipa wa mtibwa Fedha akauqchia Mpira uliomparamia likawa goli!
 
.... Kilichofanyika leo ni Wachezaji wa Mtibwa Sugar FC Kupoozwa ( Kulainishwa ) na Mafia wa Simba SC ili Wasikaze na Simba SC icheze Mpira mwingi na ishinde Bao / Goli nyingi
Simba ndio timu yenye mabao mengi kuliko timu zote za NBC PL msimu huu. Inawezekana labda imehonga mechi nyingi

 
Chawa katika ubora wako ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜† ๐Ÿ˜†
 
Simba imeshindwa lenga goli kipindi cha pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ