GE2025 Yaani Uchaguzi wa mwaka huu hata wadhamini wa wagombea hawatafutwi? Mbona Samia sijaona popote akitafuta wadhamini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,503
Reaction score
15,858
Hili ni swali kwa wajuvi wa sheria je takwa hili la wagombea kuhakikisha kwamba wana wazunguka na kupata wadhamini kwa nafasi za urais kutoka mikoa yote ya Tanzania bara na visiwani halipo tena?

Au wadhamini wanaweza kupigiwa simu na kusaini kwa mfumo wa kidijitali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…