Yaani umedanganywa ufunge hadi kufa na ukafa kweli kisha nipoteze machozi yangu kukulilia?

Yaani umedanganywa ufunge hadi kufa na ukafa kweli kisha nipoteze machozi yangu kukulilia?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Wafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60.

1. Mwalimu Julius Nyerere
2. Kwame Nkurumah
3. Kamuzu Banda
4. Kenneth Kaunda
5. Samora Machael
6. Nelson Mandela
7. Patrice Emery Lumumba
8. Marc Vivien Foe
9. Bob Marley
10. Patrick Mutesa Petit Tabu Mafisango
11. Luanzo Makiadi Franco
12. David Ben Gurion
13. Yitzhak Rabin
14. Benjamin Mkapa
15. Abedi Karume
16. John Pombe Joseph Magufuli
17. Tupac Shakur
18. King Majuto
19. Mchekeshaji Max
20. Mwai Kibaki

Sababu ya Kuwataja hawa Marehemu Ishirini (20) ni kwamba Kwanza walikuwa na Akili, Wapambanaji, Wachapa Kazi, wameleta Tija ya Kimaendeleo na Mafanikio katika Jamii zetu / zao huku wakiwa wamwacha Alama (Legacies) za Kutukuka duniani.

Hawa nikiambiwa kila Siku GENTAMYCINE niwalilie Kunakotukuka nipo tayari kufanya hivyo ila siyo Watu wengine wa hovyo hovyo (Wapuuzi) waliona kabisa Wanategwa kwenda Kufa na yenyewe ilivyo Mizuzu ikategeka na Kufa.

Yaani Ufe tu Kizembe kisha Nikulilie?
 
Mimi nimeishia kusoma nilipofika hapa nikahisi kama hili ni tangazo fulani toka kwa ndugu yetu Popoma.
"Hawa nikiambiwa kila Siku
GENTAMYCINE niwalilie Kunakotanuka nipo tayari kufanya hivyo"
 
Huyo ni Ndugu yangu wa Damu kabisa na sijamtaja kama ambavyo sijawataja Ndugu zangu, Marafiki na Wazee / Watu walionilea ambao Kutwa huwa Nawalilia na nawaombea Mapumziko mema huko waliko.
 
Wafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60.

1. Mwalimu Julius Nyerere
2. Kwame Nkurumah
3. Kamuzu Banda
4. Kenneth Kaunda
5. Samora Machael
6. Nelson Mandela
7. Patrice Emery Lumumba
8. Marc Vivien Foe
9. Bob Marley
10. Patrick Mutesa Petit Tabu Mafisango
11. Luanzo Makiadi Franco
12. David Ben Gurion
13. Yitzhak Rabin
14. Benjamin Mkapa
15. Abedi Karume
16. John Pombe Joseph Magufuli
17. Tupac Shakur
18. King Majuto
19. Mchekeshaji Max
20. Mwai Kibaki

Sababu ya Kuwataja hawa Marehemu Ishirini (20) ni kwamba Kwanza walikuwa na Akili, Wapambanaji, Wachapa Kazi, wameleta Tija ya Kimaendeleo na Mafanikio katika Jamii zetu / zao huku wakiwa wamwacha Alama (Legacies) za Kutukuka duniani.

Hawa nikiambiwa kila Siku GENTAMYCINE niwalilie Kunakotukuka nipo tayari kufanya hivyo ila siyo Watu wengine wa hovyo hovyo (Wapuuzi) waliona kabisa Wanategwa kwenda Kufa na yenyewe ilivyo Mizuzu ikategeka na Kufa.

Yaani Ufe tu Kizembe kisha Nikulilie?
Ongezea 21. Yasser Arafat
 
Huyo ni Ndugu yangu wa Damu kabisa na sijamtaja kama ambavyo sijawataja Ndugu zangu, Marafiki na Wazee / Watu walionilea ambao Kutwa huwa Nawalilia na nawaombea Mapumziko mema huko waliko.
We Genta vipi
1. Kwame Nkurumah alikuwa mjinga ndio maana akapinduliwa kule Ghana.

2. Nelson Mandela huyu alibidi atii matakwa ya Wazungu hivyo kuwasaliti waafrika mpaka leo Uchumi upo kwa mtu mweupe kule kusini mwa Afrika.

3. Joseph Pombe Magufuli huyu role model wake alikuwa Mobutu wa Zebanga jogoo hivyo kuharibu hadi uchumi wa nchi na kutofuata sheria mpaka kutuletea bibi titi.

Sasa hawa uliowaandika na hao waliokufa kibudu Wana tofauti gani?

Hiki chuo Cha Voice pale Mwanza ndio kinatoa madunduka kama wewe.

Bahati Mbaya hujawakumbuka hata Bibi na Babu zako kwenye list ya appreciation.
 
Halafu hao walokole wanaojifanya kufunga bila utaratibu wengi wana madonda ya tumbo,
 
Makanisa mengi ya kipentekoste ni CULT SOCIETIES.

mke au mpenzi wako akienda huko umeshampoteza

Wanafungwa ufahamu kabisa.
Ukishasema Cult tayari inakuwa sio upentekoste. Makanisa ya kwanza ya upentekoste Tanzania miaka ya 1930 ni FPCT, TAG, PAG, PEFA, PHM ( Pentecostal Holliness ) na Elim Pentecostal. Hivyo hao ndio waanzilishi wa upentekoste Tanzania. Ukitaka kupima upentekoste yaangalie hayo makanisa Kama yana ujinga.

Tatizo mkiwaona akina Mwamposa mnadhani ndio waanzilishi wa upentekoste hapana hao ni vijana wa juzi. Kasome waanzilishi akina Harris Kapiga mwinjilisti wa kwanza mwaka 1932, kasome kina Yusufu Matete, akina Mzee Kameta waanzilishi wa TAG, akina Andrea Shimba.
 
Back
Top Bottom