Yaani umedanganywa ufunge hadi kufa na ukafa kweli kisha nipoteze machozi yangu kukulilia?

Yaani umedanganywa ufunge hadi kufa na ukafa kweli kisha nipoteze machozi yangu kukulilia?

Wafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60.

1. Mwalimu Julius Nyerere
2. Kwame Nkurumah
3. Kamuzu Banda
4. Kenneth Kaunda
5. Samora Machael
6. Nelson Mandela
7. Patrice Emery Lumumba
8. Marc Vivien Foe
9. Bob Marley
10. Patrick Mutesa Petit Tabu Mafisango
11. Luanzo Makiadi Franco
12. David Ben Gurion
13. Yitzhak Rabin
14. Benjamin Mkapa
15. Abedi Karume
16. John Pombe Joseph Magufuli
17. Tupac Shakur
18. King Majuto
19. Mchekeshaji Max
20. Mwai Kibaki

Sababu ya Kuwataja hawa Marehemu Ishirini (20) ni kwamba Kwanza walikuwa na Akili, Wapambanaji, Wachapa Kazi, wameleta Tija ya Kimaendeleo na Mafanikio katika Jamii zetu / zao huku wakiwa wamwacha Alama (Legacies) za Kutukuka duniani.

Hawa nikiambiwa kila Siku GENTAMYCINE niwalilie Kunakotukuka nipo tayari kufanya hivyo ila siyo Watu wengine wa hovyo hovyo (Wapuuzi) waliona kabisa Wanategwa kwenda Kufa na yenyewe ilivyo Mizuzu ikategeka na Kufa.

Yaani Ufe tu Kizembe kisha Nikulilie?
Jioni ya April 25 wamefukia 89
 
Fanyia uchunguzi nasikia baadhi ya maiti zimekutwa na majeraha kabisa ya kupigwa sio kweli kwamba wamekufa kwa kufunga pekee kuna siri nzito .na yule sio mtu wa dini ni katili anayetumia kivuli cha dini.
 
Yule huko gerezani wangempiga sndn ya smu tu

Ova
 
Kama ingekuwa hawajafa basi tungesema kawadanganya. Ila kama wamekufa hajadanganya mtu hapo.
 
Ukishasema Cult tayari inakuwa sio upentekoste. Makanisa ya kwanza ya upentekoste Tanzania miaka ya 1930 ni FPCT, TAG, PAG, PEFA, PHM ( Pentecostal Holliness ) na Elim Pentecostal. Hivyo hao ndio waanzilishi wa upentekoste Tanzania. Ukitaka kupima upentekoste yaangalie hayo makanisa Kama yana ujinga.

Tatizo mkiwaona akina Mwamposa mnadhani ndio waanzilishi wa upentekoste hapana hao ni vijana wa juzi. Kasome waanzilishi akina Harris Kapiga mwinjilisti wa kwanza mwaka 1932, kasome kina Yusufu Matete, akina Mzee Kameta waanzilishi wa TAG, akina Andrea Shimba.
Mwamposa si ni hao hao CULT?
 
Wafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60.

1. Mwalimu Julius Nyerere
2. Kwame Nkurumah
3. Kamuzu Banda
4. Kenneth Kaunda
5. Samora Machael
6. Nelson Mandela
7. Patrice Emery Lumumba
8. Marc Vivien Foe
9. Bob Marley
10. Patrick Mutesa Petit Tabu Mafisango
11. Luanzo Makiadi Franco
12. David Ben Gurion
13. Yitzhak Rabin
14. Benjamin Mkapa
15. Abedi Karume
16. John Pombe Joseph Magufuli
17. Tupac Shakur
18. King Majuto
19. Mchekeshaji Max
20. Mwai Kibaki

Sababu ya Kuwataja hawa Marehemu Ishirini (20) ni kwamba Kwanza walikuwa na Akili, Wapambanaji, Wachapa Kazi, wameleta Tija ya Kimaendeleo na Mafanikio katika Jamii zetu / zao huku wakiwa wamwacha Alama (Legacies) za Kutukuka duniani.

Hawa nikiambiwa kila Siku GENTAMYCINE niwalilie Kunakotukuka nipo tayari kufanya hivyo ila siyo Watu wengine wa hovyo hovyo (Wapuuzi) waliona kabisa Wanategwa kwenda Kufa na yenyewe ilivyo Mizuzu ikategeka na Kufa.

Yaani Ufe tu Kizembe kisha Nikulilie?
ajabu
 
Ila imebainika walikuwa wanawekewa ulinzi, anaejaribu kutoroka kwenda kutafuta chakula aliuwawa..
 
Back
Top Bottom