GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Nimeshalitolea Ufafanuzi hili mapema.Mbona aijamuona Nimrod Mkono kwenye hii orodha yako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshalitolea Ufafanuzi hili mapema.Mbona aijamuona Nimrod Mkono kwenye hii orodha yako?
Hopeless umemuweka / umemuandika Wewe?Ondoa Magufuli hapo!!!!
Kuna Ufafanuzi juu yake nimeshautoa.
Jioni ya April 25 wamefukia 89Wafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60.
1. Mwalimu Julius Nyerere
2. Kwame Nkurumah
3. Kamuzu Banda
4. Kenneth Kaunda
5. Samora Machael
6. Nelson Mandela
7. Patrice Emery Lumumba
8. Marc Vivien Foe
9. Bob Marley
10. Patrick Mutesa Petit Tabu Mafisango
11. Luanzo Makiadi Franco
12. David Ben Gurion
13. Yitzhak Rabin
14. Benjamin Mkapa
15. Abedi Karume
16. John Pombe Joseph Magufuli
17. Tupac Shakur
18. King Majuto
19. Mchekeshaji Max
20. Mwai Kibaki
Sababu ya Kuwataja hawa Marehemu Ishirini (20) ni kwamba Kwanza walikuwa na Akili, Wapambanaji, Wachapa Kazi, wameleta Tija ya Kimaendeleo na Mafanikio katika Jamii zetu / zao huku wakiwa wamwacha Alama (Legacies) za Kutukuka duniani.
Hawa nikiambiwa kila Siku GENTAMYCINE niwalilie Kunakotukuka nipo tayari kufanya hivyo ila siyo Watu wengine wa hovyo hovyo (Wapuuzi) waliona kabisa Wanategwa kwenda Kufa na yenyewe ilivyo Mizuzu ikategeka na Kufa.
Yaani Ufe tu Kizembe kisha Nikulilie?
Wadondoke tu hata Huruma nao sina.Jioni ya April 25 wamefukia 89
Acha Bange / Bangi basi Mkuu sawa?vipi kuhusu Akwilina na Saanane mkuu
🤣HajafaMKONO
Ujambo ww binti🤣Hajafa
Sijamboooo🤣, happy new yearUjambo ww binti
Yule huko gerezani wangempiga sndn ya smu tuFanyia uchunguzi nasikia baadhi ya maiti zimekutwa na majeraha kabisa ya kupigwa sio kweli kwamba wamekufa kwa kufunga pekee kuna siri nzito .na yule sio mtu wa dini ni katili anayetumia kivuli cha dini.
Mwamposa si ni hao hao CULT?Ukishasema Cult tayari inakuwa sio upentekoste. Makanisa ya kwanza ya upentekoste Tanzania miaka ya 1930 ni FPCT, TAG, PAG, PEFA, PHM ( Pentecostal Holliness ) na Elim Pentecostal. Hivyo hao ndio waanzilishi wa upentekoste Tanzania. Ukitaka kupima upentekoste yaangalie hayo makanisa Kama yana ujinga.
Tatizo mkiwaona akina Mwamposa mnadhani ndio waanzilishi wa upentekoste hapana hao ni vijana wa juzi. Kasome waanzilishi akina Harris Kapiga mwinjilisti wa kwanza mwaka 1932, kasome kina Yusufu Matete, akina Mzee Kameta waanzilishi wa TAG, akina Andrea Shimba.
Sijamboooo[emoji1787], happy new year
Nimerudi rasmi,ni ratiba tuUmepotea sana Boss Lady
ajabuWafuatao ndiyo Watu pekee ambao GENTAMYCINE nitawalilia kila Siku na siyo Wengine waliojitakia Kufa kwa Kukubali Kufa huku Wakijiona ambao mpaka sasa naambiwa Wamefikia 60.
1. Mwalimu Julius Nyerere
2. Kwame Nkurumah
3. Kamuzu Banda
4. Kenneth Kaunda
5. Samora Machael
6. Nelson Mandela
7. Patrice Emery Lumumba
8. Marc Vivien Foe
9. Bob Marley
10. Patrick Mutesa Petit Tabu Mafisango
11. Luanzo Makiadi Franco
12. David Ben Gurion
13. Yitzhak Rabin
14. Benjamin Mkapa
15. Abedi Karume
16. John Pombe Joseph Magufuli
17. Tupac Shakur
18. King Majuto
19. Mchekeshaji Max
20. Mwai Kibaki
Sababu ya Kuwataja hawa Marehemu Ishirini (20) ni kwamba Kwanza walikuwa na Akili, Wapambanaji, Wachapa Kazi, wameleta Tija ya Kimaendeleo na Mafanikio katika Jamii zetu / zao huku wakiwa wamwacha Alama (Legacies) za Kutukuka duniani.
Hawa nikiambiwa kila Siku GENTAMYCINE niwalilie Kunakotukuka nipo tayari kufanya hivyo ila siyo Watu wengine wa hovyo hovyo (Wapuuzi) waliona kabisa Wanategwa kwenda Kufa na yenyewe ilivyo Mizuzu ikategeka na Kufa.
Yaani Ufe tu Kizembe kisha Nikulilie?
Zawad yangu ngoja nije pm kwanzaNimerudi rasmi,ni ratiba tu
Khaaaaa🤣🙌🤭Zawad yangu ngoja nije pm kwanza