ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
😀😀😀popoma akileta uzi lazima akutane na watu wanamtusi hua nacheka sana sijui aliwakosea nn wana jf
Labda watatoboa net ya mbu kwa nyayo za miguu yao iliyopasuka pasuka kama mihogo ya Kisarawe.Mara wametoboa
😂😂😂😂😂Wekeni namba ya Maofisa wa CAF niwatumie pesa ya wine. Maana wametukomeshea ngedere mmoja hivi kutoka bwawani huko.